You've been waiting long enough...E153u-1, E153u-2, E173u-1, E173u-2 unlock is ready!!!!!!!!

sikiliza nimetumia njia nyingi kuunlock PERMANENTLY

1. Install customized firmware nyingine kama jamaa alizoonyesha hapo juu then tumia mkey kuiunlock
2. Using linux apt settings (works on linux only)
3. Using my brand new firmware (works but i am still testing it )

Mkey inapatikana online but kupata original shughuli sana but nita post link soon

najua umetumia njia nyingi ku-unlock permanently ila sio kwa mkey.
 
samahani wana JF. Nimenunua vadafone k3571-z, sasa hiyo mkey inayo uwezo wa kuifungua(unlock)? Plz nisaidieni wakuu!!!
 
mkuu mie nina ki simu hapa kinaitwa alcatel ot209 imei yake ni:353667048053739 naomba nisaidie unlock code yake kaka.
 
Mwageni somo basi wakuu. Naona siku zinapita tu. Tumeshachoka na temporary unlock kila siku. Tokea november mbona hujatupa lesson?
 
Tumeshachoka kusubiri . Tokea november hadi leo. Toa lesson tusome . Tupe hizo njia
 
Nimeffanikiwa ku unlock modem ya tgo huawei 153u-1 through dis procedures!!!!!
first!!!1. Download E153Update_11.609.18.00.00.B427...then
Secnd!!!2. Connect ur modem with different simcard(chip) den fungua E153Update_11.609.18.00.00.B427 setup
Third!!3. Ikifika sehem ya password weka flash code ambazo utazipata through universal master code.
Frth4!!!! Ukishaupdate firmware.. unlock kama kawaida kwa program ya HUAWEI MODEM Code Writer
it's work!!! tyr it!!!!!!!
 
Huo ni ujuzi tu,hamna haja ya kuuza..si uwape na wenzako ujanja huo bure.Ya nini kuanza kuongelea prices,madiscount sijui nini.Hivi kila mtu akiuza ujuzi wake wadau tutaendelea kweli???
Jf ni bure jamani, we mwaga hapa maujanja hayo ndugu yangu tusiuziane hapa
 
Sidhan kama kuna moderm ya huawei isiyowezekana kuwa unlocked hata kama ina customized firmware. Maana kama haipo customized ina maana una uwezo wa kuiupgrade na kama ipo customized ina maana hapo inatakiwa uidowngrade. Kaz kwako sasa kutafuta jinsi ya kudowngrade
 
modem za hilink huwezi bila kuwa na tool coz hazi tengenezi comport kirahisi
 
A hyo tool iko added ktk mind yang mkuu. Maana naona unaongea kwa ubishi
 
Back
Top Bottom