Youtube kwenye Blackberry na Bandle za Tigo kuna shida .

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,048
3,227
Tigo wameshindwa kulipia huduma za Youtube ili kumwezesha mtumia Blackberry bandle kuplay youtube vídeo .. Unajikuta unaplay lakini unaingia gharama za kawaida na si za kwenye bandle .
Je vipi kwa mitandao mengine ?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Na Airtel mwendo ni huo huo ukiplay youtube video ujue salio lako lonaishia

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
sikujua wakuu kumbe ndio huu upuuzi unaendelea..jana i was watching a movie on my 4n mara naona haiendelei kuplay kucheki salio nimekata..ikabidi niongeze salio ndio ikaendela..huu ni wizi kimtindo if you pay for the whole bundle why excess payments on the same service..
 
Inakera saana kupata huduma Nusus nusu !! Sasa kuna haja gani ya kulipia Bandle !! Bora watuache kwenye system ya kawaida !!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Vp Voda !!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Wakubwa, bundle ya Blackberry unalipia kwa ajili ya kutuma na kupokea email. Sio kudownload movie. Else si ingekuwa huduma ya bure jamani?
 
Huduma ya Youtube ni bure, hivyo Tigo hawana haja ya kuilipia, ila video inakula data kwa kiasi kikubwa.
Hizo bundle zenu zina unlimited Data?
 
ngoja niwaulize swali maana mi si mtumiaji wa bb. Hizo video zikiplay ni native browser au kuna aplication inaplay ie, realplayer

Maana kwa nokia streaming ya youtube na video zengine ni rtsp:// na sio http:// unaweza kuta ni same kwa bb

So kama tigo wamekupa bure http:// ukiplay rtsp:// lazma wakate hela. Na sometime unakuta walimaanisha vyote viwe bure ila jamaa aloset system kakosea better wapigien simu muwatel muone watasemaje
 
Airtel hawakati chochote kama unastream youtube, tigo pia kama utapata stream za http huwa hawakati, ila for youtube ndo kwere

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Airtel hawakati chochote kama unastream youtube, tigo pia kama utapata stream za http huwa hawakati, ila for youtube ndo kwere

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Aitel wanakula hela hasa kama unatumia extreme nilikuwa nasikiliza music na radio online labda kudownload ndo bure ila tigo kimeo hata kudownload nyimbo kwa bb huwezi kabisa sijui kama wamelekebisha sasa..ila online wana charge
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom