Youths Patriotic Change kuikomboa Tanzania kabla ya katiba mpya kukamilika,

Mr Emmy

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
1,219
550
Katika hali inayoashiria sasa nchi yetu inapaswa kuongozwa na Tume maalumu au kikundi cha vijana wenye mrengo mkali kama Youth Patriotic change umejidhirisha Bungeni baada ya pande zote za wabunge wa chama tawala na wale wa upinzani kukiri nchi pamoja na bunge wameelemewa na kushindwa kabisa kuitwala nchi ya Tanzania hadi kufikia kusema hakuna serikali. kitendo cha kutokuwepo serikali kama ilivyosemwa na Wabunge kuna maanisha kuwa hakuna pia Mahakama huru, Bunge, vyombo huru vya habari na vyama vya siasa.

Kama vijana sasa tunatoa mwito wa kiongozi wa Youth Patriotic change kutangaza hatua ya neema ya ukombozi wa Taifa hili mapema iwezekanavyo
kabla ya mchakato wa katiba mpya kukamilika
 
Youth Patriotic Change ndio nini, nani na kiongozi wao ni yupi?

Ndio leo mawazi watajibu kama unaserikali au la! kwani wabunge waliuliza kama kuna serikali kweli wakati kila idara kuna mamilioni ya fedha hamitumiwa visivyo.
 
Back
Top Bottom