'...... you'r the most beautful girl/wife...........COMPLIMENTS

Daughter,sasa your other half atajuaje kwamba zimezidi au la?Na utajuaje kuwa compliments hizi zinatoka moyoni au la?

Kama hazifananifanani na Ukweli wa Jinsi ulivyo ujue kaongeza Chumvi!! Utaona kabisa sifa zake na Wewe ni Kama vile Kaskazini ilivyo mbali na Kusini!! Kwa mfano wewe unajijua kabisa kwamba ni Mtu wa Kisarani,kulipuka na majibu ya mkatao halafu mtu anakwambia "Mpenzi napenda sana Ukarimu na Uvumilivu wako Malkia Wangu"
 
Ndio maana tunasema ili compliments iwe/i hold water should be interesting,original na iwe na sincerity.Inatakiwa itoke moyoni.Ndio maana Smile amesema kwamba sisi wanaume ni matapeli kama tu compliments hazina vitu hivi.Na hakuna haja ya ku-compliment kama hazitoki moyoni mwako
 
Mimi kiukweli ukitaka kuniboa anza kunisifia
mimi kama mtu akiniomba outing sipendi kabias kusikia haya maneno
umependeza...
Una miguu mizuri....
Una macho mazuri..... And the like.....
Wewe niulize tu unataka nini maana najijua nilivo bwana kwani sina kiooo?
Sifa zenyewe za wanaume matapeli wakubwa nyie kwendeni huko
uzuri bongoo?

Duh,mdogo wangu Smile,unataka shemeji yangu akufanyie nini ili kukuonyesha kwamba anakupenda?Ndio maana nimesema kwamba ili compliments ziwe sound basi ziwe original na sincerity vinginevyo kama unavyosema utakuwa utapeli tu kwa sababu kuna kitu anataka toka kwako.

Pili nakuomba hiyo notion kwamba wanaume wote matapeli hebu withdraw tafadhali,hata kama umetendwa na wanaume bado wapo wanaume wengine wanatendwa na wanawake pia.
 
Back
Top Bottom