'...... you'r the most beautful girl/wife...........COMPLIMENTS

si hiyo tu, nafikiri coz unajua huyo dada hana anachohitaji hivyo unachukulia kuwa ni sincere. Najua ni vigumu kumtrust mwanaume (after what most of us went thru); unless we can do without them (full independence, madildo, au kubadilisha preference etc) nafikiri ni bora kutrust maana inaleta ladha ya mapenzi zaidi kuliko kuwa mguu mmoja nje mwingine ndani; ofcourse hakuna gurantee kuwa hautaumizwa tena, lakini ni bora kuishi for the moment and let tommorow take care of itself; enjoy it while it last.
kweli sa hvi nimeinvest kwenye no string attached chini ya udhamini wa kongosho
sitaki pressure tena
 
wewe unapenda kudanganyika yumy?

Hata kidogo na uzuri unakuja pale ninapojitambua kuwa sijapendeza halafu mtu anakumwagia masifa ya uongo lol....mimi huwa siwezi kunyama lazma niulize sasa nimependeza na nini hapa???!!!
Kama ulivyosema kioo kipo kwahiyo hata nikipendeza najua pia kama ambavyo nikichukiza najua...LOL
 
Macho yako si sawa na ya wengine;
leo nimevaa suit moja, naiona iko okay. Kabla ya hiyo nilivaa one, nikaona imenipendeza sana, lkn nilivua kwa kuwa ina joto sana na imenishika sana. So nilivyoivaa hii, l was just okay, according to me; lakini nimekuja hapa ofisini nimepata compliment 5 (2 from guys and 3 from ladies).
I trust them, lakini mimi sijaifurahia.
 
Daughter,sasa your other half atajuaje kwamba zimezidi au la?Na utajuaje kuwa compliments hizi zinatoka moyoni au la?

Za moyoni zinajulikana tu,tuseme mtu kapika chakula kibaya na mpishi mwenyewe anajua fika kuwa siku hiyo amechemsha.....halafu kuweka mezani mtu anaanza kutoa masifa ya ajabu yani kaa vile kuna mpishi aliletwa kufanya hiyo kazi si utajua kabisa hizi compliments sio zenyewe! Tatizo letu wanawake tunapenda sana kusifiwa hata pasipo stahili.....mimi nipe sifa zangu nnapostahili kusifiwa lakini sio kunijaza ujinga.
 
Macho yako si sawa na ya wengine;
leo nimevaa suit moja, naiona iko okay. Kabla ya hiyo nilivaa one, nikaona imenipendeza sana, lkn nilivua kwa kuwa ina joto sana na imenishika sana. So nilivyoivaa hii, l was just okay, according to me; lakini nimekuja hapa ofisini nimepata compliment 5 (2 from guys and 3 from ladies).
I trust them, lakini mimi sijaifurahia.

Hilo nalo neno....ila aiseee mie bado niko pale pale kuna wakati sifa nyingine mtu unajua kabisa hapa napakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
Hilo nalo neno....ila aiseee mie bado niko pale pale kuna wakati sifa nyingine mtu unajua kabisa hapa napakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.
mimi kiukweli sipendi kusifiwa na yeyote hata watu wangu wa karibu wanajua labda unikosoe ila kunisifia eti nalook good hatutaelewana kwa kweli
 
Nipe tu mshirika kwa kuanzia......ila umtaarifu kabisa masharti na vigezo kuzingatiwa,asije akataka kubanana bureee.
mmh mi nimemshindwa kanitolea bastola kisa naongea na simu sijui hajui principles za hili game?
 
Hilo nalo neno....ila aiseee mie bado niko pale pale kuna wakati sifa nyingine mtu unajua kabisa hapa napakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.

Backhanded compliments zipo! Ila hizi mara nyingi tunapeana wenyewe kwa wenyewe (wadada). Kwa wanaume, wanaweza kutucompliment ili kutimiza wajibu (kama mko kwenye mahusiano), na njia ya kupata kitu fulani (kama ndio anakutongoza).
 
Back
Top Bottom