Your favourite song.

Sijui ameimba Nani ....unaimbaa ivii...

"Wema Wa Mungu umenizungukaa...x4
Zungukaaa Zunguka Zungukaa......X4

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Ndo mana yake.
Ila itabidi tumtafute Mdhamini mwenye pesa zake.

Mtambuzi ile ndoa hakufunga tena, Nasikia yule hakuwa mjane,aliamua kudanganya ili ampate mtu wa kuwalelea Mapacha wake.
Hapa Ndo Mjini bhana,ulipoingilia sipo utakapotokea

Hapo kwenye RED huo wimbo kaimba nani?
Nimeupenda kweli lazima nitafute album ya huo wimbo.....LOL
 
Mie bwana zangu ni zile za kale...

Mwanameka- Marijani Rajabu
Mshenga - Bishara Jazz
Hasira hasara - DDC Mlimani Park....

Kwa mcho nimechunguza haya ninayoyasema, na kisha nikapeleleza ushahidi kuupata..
Wewe mwanangu ninakuusia......... penzi ulilo nalo, na sasa umeoa....

Ishi na mkeo vema nyumbani eee.. jaribu kuvumiliaaaa, hasira uipunguze mwanaaa,......

Japokuwa mwagombana eee, punguzaa zako hasira eee....

Talaka ya hasira ni mbaya sanaaa, subiri japo kwa mwaka ooh iyaooo....LOL
 
1. Milionea wa mapenzi - Bima Lee.
2. Maudhi ya rohoni - safari sound (duku duku)
3. Chakubanga - Dar International (marijani )
4. Nimepigwa ngwala - Maquis (kamanyola)
5. Molema - Makassy.

Tanzania 's all time classics.
 
my daily playlist:
1.Thourgh it all-hillsongs
2 i will sing-don moen
3 your my all-gather band
4.if i die young-band perry
5.someone like you-adele
6.it wil rain-bruno mars
nsiposikiza hizo hapalaliki!!!!
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom