MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,480
- 20,392
Rappers hawa majamaa huwa ni magenius,ukiachana na wao kuwadegrade wanawake (baadhi yao,japo baadhi ya wasichana wanapenda) lkn pia wana upande mwingine,yaani wakiamua kuwa romantic hawa wazeia huwa wako poa balaa.
Mdau ni punch gani na kutoka kwa rapper yupi yaani ukimwambia mtoto wa kike,lazima mtoto aseme jamaa huko deep balaa.?
Mrembo ni mstari gani kutoka kwa rapper yupi ukiusikia yaani beki huwa hazikabi? J Cole - In the morning (do u smoke weed?,dont be ashamed,it aint nothng,I used to blow trees gettng lifted,I quit but shit I might get high with u)