Elections 2010 Young tanzania politician election debate 2010

Remmy

JF-Expert Member
Jun 9, 2009
4,701
1,799
Leo saa 1 hadi saa 3 usiku vijana wanasiasa watakuwa ndani ya nyumba movenpick hotel kwa mdahalo na Jeneral Ulimwengu, so watakuwa live itv. My concern ni vijana wawili machachari John Mnyika na Regia Mtema, so stay watching.
 
jamani andikeni hata kwa kiswahili, hicho kichwa cha habari mi sijaelewa kabisa, sio dhambi kuongea lugha yetu ya taifa
 
Back
Top Bottom