Young Nigerian man - senior creative designer for General Motors!

Injinia

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
849
26
I bet they will quickly offer him citizenship!! Kama kawaida, Wamarekani hawatapenda atambulike kama "the Nigerian senior creative designer". Ila jamaa anavyoongea anaonekana hajasahau alikotoka.

Dream big people!! And work hard. It pays off

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=vqx-xKGeDCA[/ame]
 
Kama anataka atambulike kama "the Nigerian senior creative designer" basi arudi kwao Nigeria awe ana design hayo magari. Unaishi kwa watu halafu unataka utambulishwa unavyotaka wewe....WTF? Miafrika bana....haiachi kunishangaza
 
J, akidesign magari akiwa Nigeria italipa?
Hiyo ya kubaki "Mnigeria" ni mimi tu nimesema. Sijamsikia yeye akisema kuwa anataka atambulike hivyo.
Akirudi Naija ukweli ni kwamba jamaa atalosti.....ataishia labda kuchora katuni za magari. Au kufundisha
 
......it will never happen to be called in such way,may be like this General Motor's sinior creative designer from Naigeria.
Nisahihishwe maana KIINGEREZA CHANGU NI KICHACHE
 
I am liking this. May be we can all aspire to reach such heights and make a difference where we are coming from. I like this line "never underestimate the power of human determination and imagination"
 
J, akidesign magari akiwa Nigeria italipa?
Hiyo ya kubaki "Mnigeria" ni mimi tu nimesema. Sijamsikia yeye akisema kuwa anataka atambulike hivyo.
Akirudi Naija ukweli ni kwamba jamaa atalosti.....ataishia labda kuchora katuni za magari. Au kufundisha

Italipa kwa sababu Nigeria itakuwa inatengeneza magari yake yenyewe unless uniambia hawana ujuzi wa kutengeneza magari...
 
Babu niambie you are joking, haha!! wameshindwa kumanage mafuta ndio wataweza kutengeneza magari yenye ubora wa hali ya juu na kushindana na say wajapan au wajerumani?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom