You will never find my copy...

Pole mpenzi kama ni mpenzi wako wa kwanza ni ngumu sana aseee kwani nakumbuka hata mimi ilivyonitokea nilikua siamini na hata mtu alipokuwa akinishauri nilikua simuelewi lakini nashukuru mungu yalipita na yaliisha. Cha msingi kazana kumuomba mungu akupunguzie maumivu kama sio kuyaepusha kabisa, na amini ipo siku utabaki na amani moyoni ingawa kwa sasa unaumia. Jitahidi kujichanganya na watu unapiga piga stori ili usiwe unawaza sana. Yaani ni ngumu sana nakuombea uweze kuyashinda haya yakukutayo sasa ila usijilazimishe kumpenda kama unaona kabisa hakupendi kwani atakuja kukuumiza zaidi ya hapo.

Asante my dear,
umesema ukweli, maana ninakoelekea ni kujilazimisha kumpenda... mtu akikukosea mara nyingi na habadiliki, upendo unaweza kuzimika taratibu na ukaishia kuwa unajilazimisha kumpenda... The first tym nilivomwambia kuwa I cant handle this anymore, I want to walk away, alinikumbusha mengi sana tuliyopitia, na kunihakikishia ananipenda, na tukaongea sana, nikamweleza kuwa hata mimi nampenda ila inabidi hivi vitu anavovichukulia kama mzaha aache, akaniambia sometimes he acts that weird because he loves me... yaani sasa hiyo kali mtu unampenda mpaka you act weird, thats really weird!!! He says he cannot do without me, he wont be able to survive... anataka tu muelewane mfurahi, mcheke...ila hataki ma-confrontations, wala hataki kuachana...sasa unamuelewaje mtu wa hivo....
 
Leney nimerudi tena,,,hivi yeye akijisifia wewe huwa hujisifii?lazma na wewe uonyeshe thamani yako si umeona thread ya Dena leo?BTW,sifa za hivyo kny mahusiano hazijengi kwa both sides,,, kwanza mtu kama anakupenda kwa dhati sidhani kama anaweza kujikweza hivyo?kwani ameona mwanaume ni yeye mwenyewe ama?kama ni issue iko siriaz hivyo huyo ni noma! umewahi kumwambia kuwa hizo tambo hazikufurahishi?

Yani my wiselady, sijui niseme ipo siriaz, sijui niseme naichukulia siriaz, yani hata sijui nisemeje... mimi hata nikijisifia labda kama tunataniana na tunacheka..ila kwenye ugomvi, no, yea huwa tunaongea, ila ni kama mtoto, yani mpaka akubali kuwa confronted ni ishu... muongee mengine ila sio kumkosoa, na ukinyamaza ukawa sad, after some tym, he comes back telling you dont be sad, asking you why yo sad, ukimwambia yeye ndo hakati kukusikiliza, anasema kama ni hivo he will change, I shud be happy, na anajieleza vizuri na maturely na utakuta sometimes anaacha, ila sasa ndo abembelezwe, na hadi akipenda, sasa ndo maisha gani hayo?? au ndo inatakiwa hivo mi sielewi au? kuwa mwanaume hata akikosea inabidi umbembeleze akwambie why kafanya hivo, then akijisikia ndo akueleze....
 
Msamehe atatulia... Lakini naye asideke kihivyo. Ila anavyokwambia aweza kuwa na ukweli ndani yake... Sasa hivi kumpata mwanaume akakupenda na kukuthamini ni wachache dada yangu... Kama credit ulizokuwa unampa ni za kweli... Unaweza usipate zinazo karibia hata hapo.... Ukishaenda chini point fulani unakwenda kweli katika relationship umekwenda. Sasa hivi kuna vitoto vya sekondari na high school vinakuja juu sana kuopoa wakaka hivyo ushindani ni wa hali ya juu sana... Vyenyewe vinajifunza mambo ya kikubwa toka kwenye technologia zetu hizi basi we acha... "You might not find his copy sometime" lakini haizui kumpa changamoto au kumkosoa anapokosea.

Asante my dear kwa ushauri...unajua mimi naangalia tabia kwanza, then mambo mengine yanafata, so nilimkubali kulingana na tabia yake, na tulivoweza kuconnect, na he was really a nice guy, mpaka nikasema hebu ngoja nimpende huyu mtoto wa kiume, like he has never been loved b4... so nikaacha yale mambo ya moyo nusu umefunga nusu umefunguka, nikaufungua completely, sasa naona hii ndo inamfanya aone yeye he is best... mi sikatai yeye kujisifia, hata mimi napenda awe na high esteem, ajipende, but in a moment like this tukiwa na ugomvi, kwa nini mtu uanze kujisifia sifia... fikiria na mimi ningeanza kujisifia, tungefikia wapi... maana kuna wasichana wangapi hawajatulia?? Kuna wasichana wangapi utamkuta hajawahi kuwa na mtu, unampata, na anatulia, na anakubali wewe kumuoa, how many???? tell me... hapa na mimi nikianza kujisifia my dear hatutalala...

Hapo kwenye red, Huu ushindani hata bado sijauwaza... huwa naamini Mungu anapanga destinies za watu, he works out in a way, hata hatuhitaji kushindana, tunajikuta somewhere somewhere together.... labda am still naive about this...
 
leney nimependa unavyokuwa courageous,hapo kny red alippsema geophysics sioni mantiki yake kabisa,,inaonekana umekuwa fade up na huyo mpenzio na ukweli mtu wa kurudiarudia makosa with childish behaviour anachosha!leney ukiamua kufanya maamuzi maagumu usiangalie mama atakufikiriaje neither ur friends,naelewa hakuna mtu perfect lkn kuna vinavyovumilika,ukiona unakosa amani na relationship uliyopo chukua hatua,,watu wa mungu ni wengi utapata the love of ur choice,gud cheer
 
Amen my dear!!!!
kweli hili la kumwambia mama ni kama mlima...nashukuru kwa kunitia moyo...
Hapo kwenye the second red umeongea kitu cha msingi sana Wit, amani inakosekana my dear ukiwaza kuwa huyu mtu unayemwamngalia ataendelea kuwa hivi hivi hata kwenye ndoa, unajua hamna miujiza kwenye ndoa....sijaingia bado ila najua hamna mirackes huko, kua mtu overnight huko honeymoon anabadilika ghafla..haiwezekani...bora uingie umeshaamua kukubaliana na unachokiona... so hii inanikosesha amani... na nashukuru kwa ushauri wako mpendwa... ntachukua hatua...

Be blessed loads...
 
was really waiting for your words my dear... I missed you sana my dear, and I missed ur writings... thank God am back...
Kupumua bado napumua my dear, yani sikustop even a minute... yani hapo kama uko moyoni mwangu, coz at the beginning nilikuwa 100 % free, no hesitations, just there to love him... sasa si kama zamani, sasa natumia vyote moyo na akili, Ila Michelle, I want to walk away...mwanzo wakati naandika this thread, it was just kusikia maoni ya watu about mtu anaejisifia kuwa hamna copy yake,I didnot want to open up, but the truth deep down in heart, I want to walk away... lakini napata mawazo mengi sana kichwani, kwa mfano; yeye ana hayo matatizo ya uongo na utoto, hivi outside there arent there even worse pipo??

The main battle in kumkubali kama alivo, au ku walk away... he is not going to change, thats the way he is... sasa hapo kipi ni sahihi?? I really want to make the right choice...huwa namwambia hivi these may be small things to you, but tukiingia into marriage (we were almost geeting married, dont even know how to explain this to my mom) hivi vitu vitakuwa ndo nightmares zetu, why wud I treat something, if I had the chance to prevent it?? Ila yeye anachukulia poa tu, yani sio issue anaona, he wants us to live the moment, tukiingia huko then tutajua...

Talk to him....give him your reasons for walking away....wish him the best and move on with confidence. Ukishaanza kukosa amani na mtu kuna zaidi ya hapo,yawezekana yapo usiyoyajua....kusema you will never find my copy is a very strong statement....yawezekana yupo au wapo wanaomwambia hakuna kama yeye......he does not value you that much coz he thinks he deserve someone better than you....he is too good for you and he is just doing you a favour by bn with you......sikutaka kusema mengi mwanzoni but since you have open up....let him go,if he ever change,you can re think about him!!!!:smash::smash:
 
kitu kimoja kimenifurahisha, nilikuwa sijui kuwa Leney ni mwanamke/msichana...yet she has been here tangu 2007.....welcome back na pole kwa masaibu.

Ushauri wa babu Asprini, naunga mkono, tofauti yangu na yeye ni kwamba mimi huwa sio mkaguzi....
 
Thanks gal!!!! Yaani sitaki hata kuongea tena, maana umesema kilakitu.... Thanks dear
 
kitu kimoja kimenifurahisha, nilikuwa sijui kuwa Leney ni mwanamke/msichana...yet she has been here tangu 2007.....welcome back na pole kwa masaibu.

Ushauri wa babu Asprini, naunga mkono, tofauti yangu na yeye ni kwamba mimi huwa sio mkaguzi....

Haha..Jamani Kaizer sijawahi fikiria a man/boy can have the name Leney!!! Hiyo ya tangu 2007 nilifungua tu account my dear, sikuwahi kuitumia mpaka december 2010... But am so damn sure that Kaizer is a man and I follow him close hapa JF...

Hahah, eti wewe sio mkaguzi...LOL Babu akiona hapa ur a dead man!!! Itabidi nibadilishe niwe nakufuata kwa ushauri , coz I know I will be safe with you!
 
Back
Top Bottom