You title it.......

She is like an angel, amejawa na nidhamu
Her smile is special, maneno yake matamu
Highest above level, hakika hanishi hamu
Sticked her my label, awe wangu wa kudumu.

Akiwa karibu yangu, nothing I want more
Yakimkosa macho yangu, my heart always sore
Kama nyota na mbingu, please baby love me so
Wewe ni wangu wa tangu, its written in your eye brow

Love you have for me, ni dhahiri sio siri
"You won't abandon me", kila saa wakariri
"You live inside me" , wanipamba kwa shairi
"Ooh baby forgive me", mwepesi makosa kukiri

Nikizama niokoe, You are my only life jacket
Siri zetu usitoe , keep them inside your pocket
Wazembe wasikuzuzue, let them kick the bucket
Waachie wafulie , I will pay their docket

I have more to say , lakini sitomaliza
I hope its all okay , nahofia kukukwaza
Love is here to stay, nangoja kukuchombeza
Turn me on/ dont delay, nadhani nimemaliza.


Ni mimi malenga wenu klorokwini a.k.a "chizi fukara, kula kwa jirani"

WARNING: Guessing hairuhusiwi.


"Kwa wewe ninaekudanganya!"
 
Hata wahalifu wana haki jamani.
You of all people should know that lawyer. . .
Mhalifu ana haki as long as unaweza kutwist uhalifu wake usionekane adhawaizi kama mambo hazarani haki yake kubwa ni jela. Huyu unaemtetea wewe ni beyond utetezi. Halaf mbona unamtetea sana? lol
 
Mhalifu ana haki as long as unaweza kutwist uhalifu wake usionekane adhawaizi kama mambo hazarani haki yake kubwa ni jela. Huyu unaemtetea wewe ni beyond utetezi. Halaf mbona unamtetea sana? lol
Hahahah. . .basi simtetei tena kesi isije ikanigeukia mimi.
 
@Kloro,hehehehe!jaman wangu ndio umenigeuka au?ww c ulinambia zile 9tdrec za rimot hakuna size yangu labda nipungue kidogo!anyway ucjal kuna kitu cha mchina with in 24hrs mwili huoooo!ungependa nijazie maeneo gan hasa ili nguvu niielekeze huko zaidi!
 
na umbea wako..lol..ina maana hujui ka ni mafua 2?....mie hata ckujua kama kijana anaumwa, threads za maombolezo ziliniteka haswaaa.....huyo kaomboleza klo kweli?...miss u mdada!
Miss You too mdada! Heri ya mwaka mpya mpendwa!..nimefurahi kukuona jamvini manake ulipotea ghfla kama klorokwini, kijana alikuwa mgonjwa bana ila Mungu si athumani wala the boss, amemjalia afya na uzima tele! Si umemwona anajivinjari jamvini?

Afu toka lini umesahau kuwa kusutwa ni suna?..lol.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom