You should have told me guys....!kwanin mmenifanyia hivi?.........

Kwani ukiowa halafu sherehe ikawa postponed hadi further notice kuna shida gani?
 
huo nao ujanja mwingine Masanilo....hiyo furthe notice isipofika je??? pesa bwana inakazi nyingi we acha tu.

Last week bt one, rafiki yangu alikwenda kwao dodoma kushiriki send-off party maana anaolewa. aliyoyakuta huko ni aibu, mama yake katumia pesa yote so there was no even maji ya kisima acha ya bomba kwenye shughuli!!!!!
 
Mmmh! Hilo balaaa!
 
tendo la ndoa linatendeka kwenye ndoa huko nje ni ufirauni tu!!!! Afu sio ndoano ni ndoa nawe!!!

Omba samahani please to me onbehlaf of all guys walio kny hii aina ya relationship.........sawa?
 
Ufirauni ni kitu tofauti na uasherati.......!!! Usichanganye mambo tafadhali!
 
Omba samahani please to me onbehlaf of all guys walio kny hii aina ya relationship.........sawa?

hahaaaaaaa wats wrong wit you NL??? msamaha huombwa na aliyekosa mi nimekosa nini?? au hasira za mgombea unamalizia kwa mie mnyonge tu basi!!!!
 
usiogope ya kwetu tutafunga wawili, na mashahidi na mfungishaji tena siku ya kazi there after kila mtu aende kazini tukutane jioni home!!!

Heeeeeee! mamaaaaaaaaa.....vacation imeisha? nani kawasuluhisha ninyi.....Masa?
 
Hiyo itakuwa imekaa vizuro sana! Halafu jioni baada ya kazi tunapanda boti kwenda kwenye mwezi wa asali......kimya kimya! :)
 
hahaaaaaaaaaaa bado hapo itakapoisha huo ndo mpango

Hiyo itakuwa imekaa vizuro sana! Halafu jioni baada ya kazi tunapanda boti kwenda kwenye mwezi wa asali......kimya kimya! :)

ewaaaaaaaaaaaa!!!! kimya kimya!!!! no mchango no contributions!!!!
 
bht anapenda uasherati, uzinzi na ufirauni....hebu angalieni alivyotoka nje ya mada! Ninafunga na kumwombea aingie kwenye ndoa
 
tendo la ndoa linatendeka kwenye ndoa huko nje ni ufirauni tu!!!! Afu sio ndoano ni ndoa nawe!!!

hahaaaaaaa wats wrong wit you NL??? msamaha huombwa na aliyekosa mi nimekosa nini?? au hasira za mgombea unamalizia kwa mie mnyonge tu basi!!!!

Ok eleleza basi hapo kny blue ulikuwa unamaanisha nini....pia hapo kny kijani, nani unawalenga..........!
 
bht anapenda uasherati, uzinzi na ufirauni....hebu angalieni alivyotoka nje ya mada! Ninafunga na kumwombea aingie kwenye ndoa
Hahaaaaaa jamani we kijana sote hapa tupo ofu topiki sasa kunibebesha gunia la misumari hivo kwa nini?
 
Back
Top Bottom