You must be grateful for the little you have!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,393


What´s happening to the world, where are we heading?? And yet I look at myself and feel sad coz I’ve "A PROBLEM"....The entire human race needs God & not only Christians (Bare this in mind)!!

<o:p> </o:p>
 

Attachments

  • Hunger stricks.JPG
    Hunger stricks.JPG
    29.3 KB · Views: 115
kweli kabla ya kulalamika kuwa maisha magumu kweli unatakiwa kwanza umuangalie alie chini yako!
 
Tatizo binadamu ni mwepesi sana wa kusahau matatizo! mambo makubwa ndo twahitaji! jamani tusimkufukuru mungu! tulizikeeeeeee!
 
CCM inatumia Tshs. 3Billion kufanya kampeni ya mbunge mmoja, huku ndugu zetu wanakufa kwa mateso ya njaa namna hii. Eeh Mungu wa Israel naomba uwafungue watanzania fahamu zao wakikatae chama cha mafisadi-Amen! Mungu amesikia sala yangu 2015 CCM out!
 
Back
Top Bottom