You can't give what you can't have

kasenene

JF-Expert Member
Jun 6, 2008
1,632
2,413
Kwa wale "malinguistics" naomba mwongozo which is is the correct sentence "you can't give what you can't have or you can't give what you don't have....jamani hizi lugha za watu uwii
 
Nemo dat quod non habet
Sentensi zote ziko sawa inategemea unaongea katika contest ipi..kama unamaanisha kuwa huwezi kutoa kile ambacho huwezi kuwa nacho basi kusema " You can't give what you can't have" ipo sawa..lakini kama unamaanisha kuwa huwezi toa kile usichokuwa nacho basi "You can't give what you don't have" ndio ipo sawa...Sijui muongeaji alimaanisha nini ila tusimuhukumu kwa sasa!
 
Back
Top Bottom