You broke my heart cacico...!!!

mmh! kazi ipo duniani hapa..........ila ukweli vibabu vinajua kupakata acha masihara, hawa vijana wa bbm wanaoish kwa theories bana mizinguo mitupu.[/QUOTE]

we acha tu, visharobaro havina dili......
 
mmh! kazi ipo duniani hapa..........ila ukweli vibabu vinajua kupakata acha masihara, hawa vijana wa bbm wanaoish kwa theories bana mizinguo mitupu.

we acha tu, visharobaro havina dili......[/QUOTE] WANAJUAGA KUTUNUKISHA SHOMBO, BILA SABUNI YA KUOGA MWISHO WA MCHEZO KHA! BORA TUKALELEWE HUKO SIYE LOL!
 
unajua shemeji cacico lazima tuwe na plan B, nisipomwona nitacome that way mwenyewe, ntaomba ruhusua gfsonwin kungwi wako anajua atanruhusu tu, au sio shemeji wa ukwee!

ma love ila kawivu kapo atii.............. Kaizer sema bana weye wataka nini leo hny...............miye nakumisije papito...........nshakuandalia hot shower na nafsa ma love na kile kikoi cha kukubebea jamani, pamoja na kipepeo cha kukupepea. huyu cacico atakuletea mambo ya air condition wakati miye nakupepea na kipepeo huku nyuzi 360[SUP]0[/SUP] zikivibrate.
 
Last edited by a moderator:

tobaaaaaaaaaa! shemeji utapona kweli weye?? jamani uwiiiiiiiiiiiiiiiii my Asprin yuko wapi, isijekuwa yupo mabwepande kha!
 
Last edited by a moderator:
ma love ila kawivu kapo atii.............. Kaizer sema bana weye wataka nini leo hny...............miye nakumisije papito...........nshakuandalia hot shower na nafsa ma love na kile kikoi cha kukubebea jamani, pamoja na kipepeo cha kukupepea. huyu cacico atakuletea mambo ya air condition wakati miye nakupepea na kipepeo huku nyuzi 360[SUP]0[/SUP] zikivibrate.

hahahaha gfsonwin nimepapenda kwa cacico eti ma air condition, shemeji yangu huyu tumeshaanza kumzoeza maisha ya kawaida swtlo . Hot shower inahusu maana nimechokaje?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom