You are so beautiful without these thingz

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,833
155,780
576271_342594519122456_673431254_n.jpg
 
@Bujibuji

inawezekana kabisa...muone Halle Berry bado anaita pamoja na kutoweka nanihii.

Halle-Berry.jpg
 
Kwa kweli haya mambo ya vipodozi nayachukia sana basi tu

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Unaua soko lao wewe.......watakung'ata, ngoja aje Preta kubwa la maadui kutoka Arusha
 
Last edited by a moderator:
unaonaje tukiyaanzishia harakati?
Tuwe wanaharakati wa kupinga vipodozi.

Kuna watu mabilionea kwa ajili ya beauty/fashion industry na wewe unataka kuleta maandamano na migomo..Utaviweza hivo vita???
Halafu kwa asilimia kubwa nyie wanaume ndio mnachangia hali hii iendelee kukua...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom