donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,040
- 21,513
Hello guys once again. The topic sounds a bit funny n weird but letc face it. You have a lover hu happens to be more attractive than you. He/She makes people stare at him/her wherever yo guys r passing. Unajikuta unapatwa na wivu kwa jinsi wanamkodolea macho,muda mwingine mbele yako wanakuja kuchkua contactz zake. Wivu unakua mkubwa kwako lakini mpenz wako anakupa moyo alikupendea hvohvo. Je,wat r u gna do? Ndoivo tena hujabahatika kuwa handsome kama kina theo walcot au cute kama kina thandy newton.