You are available for 105%. Ntahamasikaje kukuoa?

Hivi wanawake tu ndo wanaotakiwa kuwaimpress wanaume??kwani wanaume hawatakiwi kujijengea mazingira fulani ili na wapenzi wao wawamiss??hivi kwani wanawake hua hawawachoki wanaume??sielewi ati!
Wanawachoka sana tu. Na mwanaume nae akijigonga sana kwa mwanamke anadharaulika vibaya...
 
Kikubwa uzima tu jamani the rest ni manjonjo ya maisha tu
 
Mtu akikuchoka/kinai katika mahusiano ni kuwa 'you have nothing to offer' period si sababu umemganda au umejiweka available muda wote.

Unaweza kuwa available 200% na bado ukawa na vitu vingi tu vya ku-offer
Hii kujificha ficha mie naona kuficha asigundue mapema kwa una 'limited resources' za ku-offer katika mahusiano hayo.
 
Back
Top Bottom