Yote Maisha

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
7.jpg

Yote maisha! Wengine tumefikia hapa tulipo sababu kuna wale walioamuakujitoa Muhanga kwa mapendo. Mama huyo ana uza vitumbua vya moto moto aweze lipa ada ya watoto wake.
 
Mimi nina rafiki yangu yuko na maisha mazuri sana ila anakwambia mama yake alikuwa anapika maandazi na yeye na nduguze wanayatembeza asubuhi kabla hawajaenda shule, na imelipa sasa himi mama anakulia kivulini
 
Duh umenikumbusha mbali kweli,nakumbuka wakati wadogo kuna mama 1 alikuwaga anapika vitumbua cha ajabu vilikuwa havikai watu wanaacha container jana yake,watu walikuwa wanadai anatumia li.......nani sjui.
 
Kuna siku nilikutana na mama mmoja mitaa ya Uswazi ninakaoishi anachoma maandazi! Nikanunua 2 nishushie na soda nikampa 1000, nikamwambia mama chenji baki nayo...hakuamini kwa mshangao!
 
Kuna siku nilikutana na mama mmoja mitaa ya Uswazi nikaoishi anachoma maandazi! Nikanunua 2 nishushie na soda nikampa 1000, nikamwambia mama chenji baki nayo...hakuamini kwa mshangao!

Mkuu hiyo sasa ndo inafaa kwa siku izi kuwa sadaka, make wachungaji wengi siku izi hawaaminiki.

Isitoshe wengi wao wanamiliki mali za anasa.
 
Kuna siku nilikutana na mama mmoja mitaa ya Uswazi nikaoishi anachoma maandazi! Nikanunua 2 nishushie na soda nikampa 1000, nikamwambia mama chenji baki nayo...hakuamini kwa mshangao!
Mkuu Mch. na wewe ni mmoja wa waliokuwa wanatetewa na the so called mtoto wa mkulima kuhusu posho nini?
 
Mkuu Mch. na wewe ni mmoja wa waliokuwa wanatetewa na the so called mtoto wa mkulima kuhusu posho nini?

Kiongozi heshima mbele

Mimi mtoto wa mkulima aka Pinda Mizengo Kayanze yuko kwenye Ignore list yangu.
 
Hamna kama kama mzazi na ndo maana hata Biblia inasema mheshimu baba na mama yako ili upate kuishi siku nyingi
 
Kuna siku nilikutana na mama mmoja mitaa ya Uswazi ninakaoishi anachoma maandazi! Nikanunua 2 nishushie na soda nikampa 1000, nikamwambia mama chenji baki nayo...hakuamini kwa mshangao!
Hii imenigusa sana, once nikinunua kitu kwa mama yoyote nitatoa sadaka, wakati mwingine tunajenga sifa baa, lakini naamini huyu uliyemwambia keep change alifurahi na lazima alisema neno moyoni mwake
 
Hii imenigusa sana, once nikinunua kitu kwa mama yote nitatoa sadaka, wakayi mwingine tunajenga sifa baa, lakini naamini huyu uliyemwambia keep change alifurahi na lazima alisema neno moyoni mwake

Huwezi jua kabisa baraka twazipata wapi! Ila siachi change bar wala kwenye dala dala
 
Back
Top Bottom