Yondo Sister enzi zake...

Kwa wana JF mlio Dar Es Salaam, anayetaka audio CD za nyimbo za Yondo Sister (Soukouss Stars), Lokassa ya Mbongo, Madilu, Aurlus Mabele, Jean Baron, Lucien Bokilo (One Way), Awilo (albamu zote), Bozi Boziana, Diblo Yankomba Dibala, Alain Kounkou, Pepe Kale na wakongo wengine anitumie ujumbe kwa PM namna ya kuzipata.

NB. Siuzi.

Asante sana Invisible kwa kumbukumbu hizo, nimefurahi sana!
 
Ray C si chochote kitandani ikimkalia kilo sabini juu anaishiwa maajabu but Yondo kwa muonekano tu ni mwanamke wa kazi hata kitandani wau mnasemaje wadau wangu?!

We umejua kama Ray c ndo hvyo kwa kitanda hawezi? Au ndo ulishawahi ku do naye? Acha hizo bana!
 
namzimikia sana huyu mama, kuna radio magic fm ndio mara nyingi hupiga nyimbo zake hasa jioni kuanzia saa 12 hadi 2 usiku kwenye kipindi chao cha afrika kabisa na pia jumapili kuanzia saa 10 hadi 1 usiku huwa sikosi na nafurahi sana maana jamaana wanapiga zile zile zilizotamba enzi hizo za congo
 
Wana JF nilipoona Yondo Sister nilistika sana kwani kuna CD mmoja anapatikana maeneo ya shinyanga. Huyu Mdada ukilogwa ukakalia kiti na yeye akakajirani yako atakuomba umnunulie soda kwa utanzania wako ukafanya hivyo, ujue umeoonodoka nae piga au vinginevyo lazima umlipe. Yalimkuta mzee mmoja ilibidi akimbie kwa kwa kujifanya kwenda kujisaidia akatoweka. Tahadhari kwa mnotembelea mkoa wa shy.

yondo sister wa shinysnga alishafariki kitambo sana
 
hakuna kama yondo sister Africa ..hakuna ..hakuna .nasema tena hakuna ...amebaki kuwa nembo kubwa ya mapenzi ya kweli moyoni mwangu pale tunapozungumzia wasanii wakike ..huyu mama alikuwa na balaa"" hakuna nyimbo yake ambayo sijawahi kuipnda...YONDO alikuwa gifted talent bwana
 
namzimikia sana huyu mama, kuna radio magic fm ndio mara nyingi hupiga nyimbo zake hasa jioni kuanzia saa 12 hadi 2 usiku kwenye kipindi chao cha afrika kabisa na pia jumapili kuanzia saa 10 hadi 1 usiku huwa sikosi na nafurahi sana maana jamaana wanapiga zile zile zilizotamba enzi hizo za congo
daaahhh huyo mama ngoma zake sio mchezo m.aiseee..umenikumbusha kitu ngoja niende YouTube leo """
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom