Yondani aanza kujuta Yanga

Yondan asifkirie kiwango chake kupanda na kuweza kuweza kucheza soka nje atavuma yanga kwa siku chache za usajiri then ataikumbuka simba kuwa ndio club bora tz .my take yanga wana soka la kisiasa ambalo ni maneno na wakianza kufungwa huwa wanapoteana
 
Mkuu naona unachanganya sana mada,Yanga siasa zitoke wapi?....Siasa zipo Simba na ndo maana inaongozwa na Mwanasiasa
 
Yanga huwa wanakuwa na furaha sana kipindi cha usajili, lakini wanakuwa na huzuni sana baada ya mechi na Simba. Mwaka jana walimbeba Asamoah airport, wakamvalisha jezi yenye jina la Rage, lakini walipokuja kucheza na Simba, walichapwa 5-0. Sasa sijajua furaha ya usajili ina maana gani kama majembe yote yanapangwa halafu timu inafungwa goli tano!
 
Huyo yondan arudi simba kufanya nini tena? Mwache akae huko anakoamin ndio kwenye mafinikio yake, mechi ya simba na yanga ndo itakuwa mwisho wake kucheza yanga kwan goli zote zitatokea kwake. Yan kama namuona vile messi anavyomsulubu babu wa watu kwa chenga za maudhi chezea messi nyiye!?
 
Yondan asifkirie kiwango chake kupanda na kuweza kuweza kucheza soka nje atavuma yanga kwa siku chache za usajiri then ataikumbuka simba kuwa ndio club bora tz .my take yanga wana soka la kisiasa ambalo ni maneno na wakianza kufungwa huwa wanapoteana
Miaka saba baadae...
 
Yanga huwa wanakuwa na furaha sana kipindi cha usajili, lakini wanakuwa na huzuni sana baada ya mechi na Simba. Mwaka jana walimbeba Asamoah airport, wakamvalisha jezi yenye jina la Rage, lakini walipokuja kucheza na Simba, walichapwa 5-0. Sasa sijajua furaha ya usajili ina maana gani kama majembe yote yanapangwa halafu timu inafungwa goli tano!
Kufungwa 5-0 sio ishu, hata r.madrid alifungwa 5 na Barcelona lakini ni bingwa wa kihistoria wa ulaya , hispania na klabu bingwa dunia
 
Back
Top Bottom