Mkuu MF1
USD 700/month!! I was saying badala ya kendelea kuteseka kulipa USD 700/month kwenye nyumba ya hovyo; bora mradi wa EHTL ambao estimations ya repayment kwa mwezi ni arounf TZS 600,00 to 700,000/month!!
Hiyo USD 700/month. unailipa kwa mda gani?
Mhhh
Mshahara wa mwenye digrii wastani jamani ni ngapi? hapo lazima mtu awe fisadi kama nihivyo.
Na hata hivyo nafikiri wakati mwingine tunakimbilia maisha,sio lazima ununue nyumba ama ujenge acha wenye pesa wajenge /wanunue wengine tupange mda ukifika tutajenga,vinginevyo utanunua nyumba baada ya hapo nikutafuta jinsi ya kufisadi ili kukidhi matumizi ya kawaida ya nyumbani.