Yombo KKKT hali si shwari

kuweni makini na haya mambo ya ushabiki wa kidini.. dini zenyewe sio zetu .. inawezekana ni majambazi wanachukulia advantage hali tete iliyopo sasa... muda kama huu ni wa kufikiria kwa pande zote mbili za shilingi... yombo na mbagala ni mbali sana so sioni connection na matukio ya mbagala..

kama kumtoa ponda hasira zao wangemaliza kituo cha polisi ....

mi nadhani ni majambazi...!

dini hizi zisiwe sababu za kuvunjika kwa amani ... wao waliotuletea hizi dini wenyewe wanatushangaa
 
achen pumba muamsho wamefanya nn kbya kutetea hak za waislam na kutafta mamlaka ya znzbr imekua nongwa
 
kuweni makini na haya mambo ya ushabiki wa kidini.. dini zenyewe sio zetu .. inawezekana ni majambazi wanachukulia advantage hali tete iliyopo sasa... muda kama huu ni wa kufikiria kwa pande zote mbili za shilingi... yombo na mbagala ni mbali sana so sioni connection na matukio ya mbagala..

kama kumtoa ponda hasira zao wangemaliza kituo cha polisi ....

mi nadhani ni majambazi...!

dini hizi zisiwe sababu za kuvunjika kwa amani ... wao waliotuletea hizi dini wenyewe wanatushangaa
Aisee usijaribu kupotosha Umma, hili si tukio la Ujambazi, ni War against Crusaders, na nimeoneshwa hapa mita 400 kutoka lilipo kanisa kuna shule ya Msingi Yombo Waislamu wamepola kiwanja cha shule na kujenga msikiti, na cha ajabu zaidi msikiti wenyewe wanaswali watu watano tu, na hakuna space kwa ajaili ya wanawake kuswali. hii ni dini ya ajabu sana.
 
tulipotoka napajua ila niendako/tuendako wadhail sina hata picha, , , kwa mfumo huu wa malumbano, mapigano, mauaji yanayohusu imani,? mwenyezi Mungu apitishe mbali hii ghadhabu

Hii inatokana na double standards mkuu, Kamanda Kova anasema kuanzia sasa busara haitatumika... sheria inafukiwa na busara!
Sheria inatakiwa isibague dini wala cheo. Askofu, Shehe na Wanasiasa, wote wawajibike kwenye sheria, sasa hapa kwetu wanabebelezwa na wananchi wanaona!
 
Sasa unataka retirement ya vinanda? Kwani umechangiamo sh ngapi? Wanaostahili kuonyeshwa risiti ni waliochangia hata kama ni msikiti ama kanisa. Mie nikitoa sadaka wala sihitaji retirement, manake natoa kama agizo la Mungu. Anaekula atashughulikiwa na Mungu mwenyewe. Mie namlilia Mungu kuwa sadaka natoa na baraka sipati.
Hapo nilpoweka red! ..kazi tunayo.Unacheza na MoU wewe!
Anyway, nilikuomba uwahoji vizuri kuhusu hili tukio, nenda ndani zaidi...au unataka msaada jinsi gani ya kuwabana kimaswali ili upate unachokitaka?
Hatutaki kusikia tena kinanda cha kanisa thamani yake ni hivi vile!sijui madhabahu gharama yake ni hii au ile bila ya ushahidi wowote.
 
yombo maeneo lilipo kanisa la kkkt usharika wa Yombo

hata mimi bado sijakuelewa, Yombo ni kubwa sana, kuna Yombo Vituka, Yombo Dovya, Yombo Buza na Yombo nyengine nyingi. Kuwa specific ni Yombo ipi, ukisema usharika wa Yombo unakuwa bado hujaeleweka hasa kwa wale ambao sio washirika wa kkkt.
 
quote_icon.png
By Matola

Tukio lilitokea saa 9 usiku, ni la kupangwa na hawa Waislamu feki, ila timing yao ilikuwa siyo walimpiga mapanga mlinzi mmoja wakidhani wameshamaliza kazi ili walichome kanisa kumbe walinzi walikuwa zaidi ya mmoja. ni jaribio lililoshindwa.

Nafanya mahojiano na mlinzi aliyejeruhiwa, ameshatoka Hospital na ameshonwa nyuzi kadhaa.
Masaburi yao yanawawasha kunyea debe...na watanyea debe tu...
 
Sasa unataka retirement ya vinanda? Kwani umechangiamo sh ngapi? Wanaostahili kuonyeshwa risiti ni waliochangia hata kama ni msikiti ama kanisa. Mie nikitoa sadaka wala sihitaji retirement, manake natoa kama agizo la Mungu.
Kuna Wakristo wanaosema kuwa serikali iyafidie Makanisa (za MoU haziwatoshi), sasa unafikiri Serikali itawafidia vipi bila ya risiti za hivyo vinanda, laptop ..?
 
hata mimi bado sijakuelewa, Yombo ni kubwa sana, kuna Yombo Vituka, Yombo Dovya, Yombo Buza na Yombo nyengine nyingi. Kuwa specific ni Yombo ipi, ukisema usharika wa Yombo unakuwa bado hujaeleweka hasa kwa wale ambao sio washirika wa kkkt.
Ni kata ya Kiwalani mtaa wa Yombo kiserikali za mitaa na eneo linaitwa Yombo pia, ni opposite na chuo cha Walemavu cha usstawi wa Jamii na hiki ndio chuo kikubwa Tanzania.

Ukija na daladala unapanda za Bombom Kijiwe samli ndio zinapogeuzia daladala, na kanisa lipo karib kabisa na stesheni ya mizigo ya Tazara
 
Kuna mtu mmoja, kiongozi wa kanisa aliwahi kusema ati JK ni chaguo la Mungu...huyu ni yule askofu wa katoliki huko huko kwenu dar, naomba nijuze kama aliwahi kuikanusha kauli yake hiyo au lah kwani najua na yeye ni mhanga wa maamuzi ya JK.
 
Huyu tumeshamwadhibu na hayuko tena Dar, amekuwa demoted na amepelekwa kwao Bukoba na ni Askofu msaidizi huko akawadanganye Wahaya wenzake.
 
hata mimi bado sijakuelewa, Yombo ni kubwa sana, kuna Yombo Vituka, Yombo Dovya, Yombo Buza na Yombo nyengine nyingi. Kuwa specific ni Yombo ipi, ukisema usharika wa Yombo unakuwa bado hujaeleweka hasa kwa wale ambao sio washirika wa kkkt.

yombo kuu kkkt. Fuatilia nyuzi zilizopo humu kwenye hii mada ili usiwe na maswali yaliyokwishajibiwa.
 
Unayepotosha ni wewe!!
Tupe habari za uhakika kuwa si majambazi waliofanya hivyo.
Wewe ndio unayetakiwa kuthibitisha kuwa ni majambazi. Unaleta hoja kuwa ni majambazi halafu unataka wengine wakuthibitishie kuwa si majambazi?! Akili za kulalia jamvi masjid
 
Back
Top Bottom