william mathayo.jr
Member
- Jul 19, 2012
- 42
- 9
Acheni ushabiki wa kidini mcheni mungu mpate maarifa na hekima na vingine vyote vitakuja...mambo ya jihad ni ya enzi hizo
Kwa akili hizo halafu wanafeli mitihani wanasingizia Wakristo wanapendelewa.Mbona unajifunga mkuu? Kama wakati wa swala wanahitajika watu wa usalama, wakishaondoka si itabidi waweke jeshi?
Doh makanisa yana lindwa na walinzi? doh! sijawahi ona mlinzi msikitini
Tukio lilitokea saa 9 usiku, ni la kupangwa na hawa Waislamu feki, ila timing yao ilikuwa siyo walimpiga mapanga mlinzi mmoja wakidhani wameshamaliza kazi ili walichome kanisa kumbe walinzi walikuwa zaidi ya mmoja. ni jaribio lililoshindwa.
Nafanya mahojiano na mlinzi aliyejeruhiwa, ameshatoka Hospital na ameshonwa nyuzi kadhaa.
Doh makanisa yana lindwa na walinzi? doh! sijawahi ona mlinzi msikitini
Yombo gani? mkuu kwani zipo myingi
b
ili nifuatilie niwajuze
misikiti inalindwa na majini
utamaduni wa kizungu unatutesa sana sasa hivi watanzania...
Kanisa kuiba mabilioni kupitia MoU, Wakristo ndio mnaoongoza kwa ufisadi, vyeti feki...Tuko bize kujenga vyuo vikuu vingi zaidi mashule na mahospital, hatuna muda huo, misikiti mingi haizidi thamani ya zaidi ya shillingi millioni 5.
Tuko bize kujenga vyuo vikuu vingi zaidi mashule na mahospital, hatuna muda huo, misikiti mingi haizidi thamani ya zaidi ya shillingi millioni 5.
Doh makanisa yana lindwa na walinzi? doh! sijawahi ona mlinzi msikitini
Nakuwekea CV ya Pengo halafu wewe tuwekee CV ya Mufti wenu.Kanisa kuiba mabilioni kupitia MoU, Wakristo ndio mnaoongoza kwa ufisadi, vyeti feki...
Vipi hutaki tena kutupasha yaliyojiri?
Kanisa kuiba mabilioni kupitia MoU, Wakristo ndio mnaoongoza kwa ufisadi, vyeti feki...
Vipi hutaki tena kutupasha yaliyojiri?
Ni donda ndugu.ukiwa muislamu ..................:lol:
wana balaa sana hawa watu waliohitimu primary skul wakaona wamemaliza shule! completely rubbish, poor reasoning!