Yingli Solar a solution to our energy problem?

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
4,526
1,529
Wakati naangalia mpira wa kombe la dunia, lilipita Tangazo moja la Yingli Solar, nimeliona mara moja tuu, na sijaliona tena. Nikapata shauku kuwatafuta kwenye mtandao, nao wako hapa Yingli Solar

Je tukianza partnership na hawa jamaa tunaweza kuondokana na shida ya umeme tuliyonayo?
 
Rev. Kishoka,
Mbona solar companies zipo Bongo tayari? nimepitia site yao naona hawa jamaa wanatengeneza PV medules na wanaziuza kwa wateja wao. Bila shaka pale Bongo wapo wafanyabiashara ambao tayari wanaagiza hizi medules toka South.. Ni wazo zuri sana kwa biashara kama utapata tenda...Unajua tena Bongo yetu ni sikio la kufa.
 
Wakati naangalia mpira wa kombe la dunia, lilipita Tangazo moja la Yingli Solar, nimeliona mara moja tuu, na sijaliona tena. Nikapata shauku kuwatafuta kwenye mtandao, nao wako hapa Yingli Solar

Je tukianza partnership na hawa jamaa tunaweza kuondokana na shida ya umeme tuliyonayo?

Mkuu hawa jamaa na dealsers wengi kutoka China bidhaa zao ni hafifu. Wanatumia materials hafifu ambazo baada ya muda mfupi zinaharibika. Tukiwa serious na hii ni afadhali tuangalie wenzentu wa scandinavia, Ulaya magharibi au Japan, otherwise tunajisumbua. Usijidanganye ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom