Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"yeyote anayetaka kwenda ikulu kutafuta faida yeyote hatufai hata kidogo"

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Hekima Ufunuo, Oct 10, 2010.

 1. H

  Hekima Ufunuo JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 218
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wakuu haya siyo maneno yangu ni ya Mwanafalsafa Julius Kambarage Nyerere aliyekuwa raisi wa kwanza wa Tanganyika huru.

  Swali.
  Katika wagombea hawa tulionao sasa hivi hasa wa uraisi, ni yupi kati yao anayeenda kutafuta faida pale IKULU?
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 61,342
  Likes Received: 477
  Trophy Points: 180
  "Tumwogope kama tunavyomwogopa mwenye ukoma" Ndivyo Nyerere alivyotuasa
   
 3. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,144
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Katika wote JK ndiye anaonekana anapigana kufa ama kupona kuhakikisha anabaki pale, ni huyu pekee ndiye anapata sifuri kwa kigezo hiki cha Mwalimu cha kumchagua mtu kuwa rais
   
 4. A

  August JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 3,663
  Likes Received: 207
  Trophy Points: 160
  jamani nyinyi mnategemea turudishe vipi hela ya mabango, t-shirt, fiesta, kapello nk,
   
 5. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,687
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  si mchezo billion of tsh zimepotea kwenye mabango!
   
 6. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 3,982
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  na unategemea turudishe vipi nguvu ya familia kuzurura mikoa yote kuomba kura?
   
Loading...