Yesu na Maria Hawa wapo tere Arusha...

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Ndani ya boti,watu rangi tofauti walikua na mizigo,meli ikazidiwa na ikabidi mizigo ipunguzwe.

Mzungu akatupa computer, akasema "kwetu zipo tele"

Mchina akatupa box la simu
akasema"kwetu zipo tele"

Muhindi Akamwaga kiroba cha tambuu akasema kwetu zipo kibao,

Mmasai akatupa shanga......

Mchaga anahaha hajui atupe nini kila kitu chake anakionea uchungu ,ghafla akamsukumia Mmasai akasema"Yesu na maria hawa wapo tere ARUSHA".
 
Inaonesha ni jinsi gani anavyojithamini yeye na mali yake kuliko watu wengine.anyway kwa kuwa ni jukwaa la jokes.
 
Back
Top Bottom