Yesu anafanya kazi

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,303
Ntawezaje kupata kazi yenye
kudumisha utu wangu,
kuwatunza wazazi wangu, na
kuwasaidia ndg zangu wakati
sikubahati hata kumaliza elimu
yangu ya sekondari? Sina kazi
natafuta kazi tafadhari nisaidie
leo nawe kesho waweza
kusaidiwa, wewe, mwanao au
nduguyo kama
kuna mtu anaweza
kuniwezesha
tuwasiliane kupitia simu namba
0685234854 tuma sms.
 
Ntawezaje kupata kazi yenye
kudumisha utu wangu,
kuwatunza wazazi wangu, na
kuwasaidia ndg zangu wakati
sikubahati hata kumaliza elimu
yangu ya sekondari? Sina kazi
natafuta kazi tafadhari nisaidie
leo nawe kesho waweza
kusaidiwa, wewe, mwanao au
nduguyo kama
kuna mtu anaweza
kuniwezesha
tuwasiliane kupitia simu namba
0685234854 tuma sms.

Yani unashida alafu unatoa mashari ya jinsi ya kuwasiliana?
 
Huyo YESU anapatikana JF? Watanzania sisi ni wazembe sana, tunabagua kazi. Wewe katika mazingia yako ukisukuma wheelbaro au ukalima mchicha kwenye uwanja wenu si unapata pesa, halafu unatumia buku kuingia cyber kutafuta kazi JF, hiyo buku si mtaji wa mbegu za mchicha!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom