Yerusalemu Iwe makao Makuu wa Palestina - Serikali ya Tanzania

Tatizo lenu mnafikiri wanaouwawa kule Palestine ni Waislamu tu kumbe hata wakristo manauwawa.

Wayahudi hata Yesu wanamkataa wanasema ni mtoto wa zinaa leo hii wakristo mnacheza mziki msioujua mnasikitisha sana....

MUNGU SIO MZUNGU.

unafikiri wakristo ni wajinga kama waislam ambao ujinga ni suna? I mean mnaiga ujinga na umburura wa yule mpenda ngono?
 
Ungekuwa na akili ungewasupport wakristo wenzio wanaosunbuliwa huko Iraq kuliko kuwakingia kifua hao Jews ambao hata huyo Mungu wako wanamuona kama mjusi tu...
Anza wewe Syria sijui utawasupport sun au Shia? maana wote ni waislamu na wanauwana tu kama kuku.
 
yenu ya katiba yamewashinda,mtaweza ya palestina na israel?kwani Palestina hawawezi kuitumia jerusalem mashariki kuwa makao makuu ya palestina?waisrael waliwakuta wapalestina pale hata vitabu vimesema hilo.

vitabu gani?
 
Anza wewe Syria sijui utawasupport sun au Shia? maana wote ni waislamu na wanauwana tu kama kuku.

Kama nawe u mkristo basi utakuwa mkristo wa hovyo kabisa... ujinga tu mmejiweka upande wa wayahudi wakati wao waakuoneni takataka tu
 
Pole sana kwa kuishi kwenye giza nene

hivi kwani haiwezekani kujadili suala palestine na israel bila ya kuingiza itikadi za kidini,kwani wao israel na palestine wanangombea dini ? Huu ni ujinga,let's focus on the matters which fighting for ? Try to learn on similar article how other people(from different countries)comments on
 
Unajua waisrael walitoka wapi kuja hapo?

tatizo lako kubwa ni kuwa na onechromosome unaweza kuwa jini!

wapalestina ni waarabu wahamiaji tu! JIBU HAYA

WAPALESTINA
1. Wanaongea lugha gani?
2. Wana utamaduni gani?

WAISRAELI
1. Kama wanachodai si chao nchi yao ni ipi?
2. Biblia yenye vitabu vya miaka 3000 iliyopita vinazungumzia ardhi ipi ya wayahudi?
 
Last edited by a moderator:
Msimamo wa Tanzania unasaidia nini ?.masuala ya Palastine na Israel yanashughulikiwa na wakubwa sisi tukimbizane na huduma bora za afya wakina mama wanazalia njia hakuna huduma za kutosha magonjwa rahisi kutibika yanatumaliza,miji yetu michafu hata takataka tumeshindwa tunakimbilia kutoa matamko ya hovyo.
 
kwamaana nyingine haujui jerusalem ilitekwa na israel mwaka 1967.kabla ya hapo ilikua chini ya mamlaka gani?

kumbe ndo maana huelewi Elungata, hakukuwa na wapalestina miaka 200 nyuma, hao ni waarabu wahamiaji
 
Last edited by a moderator:
tatizo lako kubwa ni kuwa na onechromosome unaweza kuwa jini!

wapalestina ni waarabu wahamiaji tu! JIBU HAYA

WAPALESTINA
1. Wanaongea lugha gani?
2. Wana utamaduni gani?

WAISRAELI
1. Kama wanachodai si chao nchi yao ni ipi?
2. Biblia yenye vitabu vya miaka 3000 iliyopita vinazungumzia ardhi ipi ya wayahudi?

Mkuu twende polepole,tujadiliane kistaarabu tu ili kama kuna kitu juu ya mambo haya ckijui nijue na ww hivyo hivyo,sasa jibu swali langu hao waisrael na yesu walitokea wapi kuja hapo?au walikuwepo hapo tangu adam?
 
Last edited by a moderator:
tatizo lako kubwa ni kuwa na onechromosome unaweza kuwa jini!

wapalestina ni waarabu wahamiaji tu! JIBU HAYA

WAPALESTINA
1. Wanaongea lugha gani?
2. Wana utamaduni gani?

WAISRAELI
1. Kama wanachodai si chao nchi yao ni ipi?
2. Biblia yenye vitabu vya miaka 3000 iliyopita vinazungumzia ardhi ipi ya wayahudi?
ukitaka kutumia bible katika mambo haya hupati jibu kwani jambo umeliweka kiimani,lakini hata bible inasema wayahudi wametokea wapi lakini hakuna mamlaka ya kisheria kujudge kwa kutumia kitabu cha dini.

As for wapalestina kuongea kiarabu sio ishu,hicho kiarabu chenyewe ni lugha mpya haikuwepo karne ya kwanza kwahiyo huwezi nyang'anya watu ardhi yao na kuwapa wazungu wa poland eti kwasababu wakazi wanaongea kiarabu.
Isitoshe palestina sio kabila ni jina la eneo.
Sio tu marmo ana msimamo huo bali hata akina john carey.
Na ni kwasababu wao akina marmo,membe na john carey etc ni wakristo lakini hawachanganyi mambo ya imani na mambo mengine.
 
Last edited by a moderator:
unafikiri wakristo ni wajinga kama waislam ambao ujinga ni suna? I mean mnaiga ujinga na umburura wa yule mpenda ngono?[/QUOTE

Haya uliyoyaandika hapa ni moja ya ibada ya wakristo! Sifa ya mkristo yeyote ni lazima awe mtukanaji na mzarau watu.

Ikiwa kiongozi na muanzilishi wa ukristo ile pande ya antokia Paulo amethubutu kumtukana na kumzarau mungu katika Wakorintho 1:25 kuwa mungu ni MPUMBAVU NA DHAIFU.

Sasa hili la kumuita mtume wa waislamu kuwa ni mpenda ngono nalo pia hawakuanzia kwake yeye, wameanza kumwita nabii ibrahimu kuwa ni Malaya kisa kazaa na hajjri kutoka Egpty.

Lakini wamesahau kuwa katika kitabu chao kulikuwa na mitume mfano Nuhu huyu alikuwaalikuwa na wake 1000 na Masuria 900 na pia Yakubu ambae alioa MTU na Dada take na baadae akatembea na wasaidizi wa wake zake hao wawili jee hawa tuwaiteje!!???
 
Unajichanganya, mara BIBLIA haijibu mara ina jibu! Mara huwezi kutumia dini kwenye mambo mengine. UPUUZI MTUPU

Mbona mnapigania mahakama ya kadhi? Mbona Sheria zetu zina uislam?
 
UJINGA NI KIPAJI KWAKO!! Sisi Wakristo ni wafuasi wa KRISTO YESU na ninyi ni wafuasi wa mwamedi na kawaahidi pepo ya ngono
 
history inakupiga chenga.soma

historia ya nini sheikh Elungata?

Nafahamu vitu vingi kwa mfano; MWAMEDI aliua waisraeli mia 700 kwa kuwakata vichwa walipomwambia yeye ni pepo wala si mtume!

Waisraeli wakalipa kisasi kutumia udhaifu wake wa kupenda ngono kwa kumtumia binti mzuri kujilengesha, AKAMWEKEA SUMU.

Mtume wako akafa huku uume umesimama.

We unafahamu nini kuhusu historia ya YESU?
 
Last edited by a moderator:
Unajichanganya, mara BIBLIA haijibu mara ina jibu! Mara huwezi kutumia dini kwenye mambo mengine. UPUUZI MTUPU

Mbona mnapigania mahakama ya kadhi? Mbona Sheria zetu zina uislam?
Nyakageni mbona unajitekenya na kucheka mwenyewe eti mbona mnapigania mahakama ya kadhi! suala linalojadiliwa hapa ni Yerusalem iwe makao makuu ya Palestine mambo ya mahakama ya kadhi yameingiaje huku? au chuki ndio inakusumbua?
 
Last edited by a moderator:
Unajichanganya, mara BIBLIA haijibu mara ina jibu! Mara huwezi kutumia dini kwenye mambo mengine. UPUUZI MTUPU

Mbona mnapigania mahakama ya kadhi? Mbona Sheria zetu zina uislam?
wewe umetaka kuonyesha asili ya waisrael mji wa jerusalem ni wao,nikakataa na kukuambia soma history.

Abdi-Heba
Abdi-Heba (Abdi-Kheba, Abdi-
Hepat, or Abdi-Hebat) was a
local chieftain of Jerusalem
during the Amarna period
(mid-1330s BC). Abdi-Heba's
name can be translated as
"servant of Hebat", a Hurrian
goddess. Some scholars believe
the correct reading is Ebed-
Nob[citation needed]. Whether
Abdi-Heba was himself of
Hurrian descent is unknown, as
is the relationship between the
general populace of pre-
Israelite Jerusalem (called,
several centuries later,
Jebusites in the Bible) and the
Hurrians. Egyptian documents
have him deny he was a ḫazānu
and assert he is a soldier
(we'w), the implication being
he was the son of a local chief
sent to Egypt to receive military
training there.[1]
EA 161, letter by Aziru, leader of
Amurru, (stating his case to
pharaoh), (note paragraph
divisions).
Also unknown is whether he
was part of a dynasty that
governed Jerusalem or
whether he was put on the
throne by the Egyptians. Abdi-
Heba himself notes that he
holds his position not through
his parental lineage but by the
grace of Pharaoh, but this
might be flattery rather than an
accurate representation of the
situation. At this time the area
he administered from his
garrison may have had a
population of fifteen hundred
people and Jerusalem would
have been a 'small highlands
stronghold' in the fourteenth
century BC with no
fortifications or large buildings.
[2]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom