Yemenikuta Mwenzenu

Ni kweli aisee anaweza kuitumia TRA kumnasa huyo jamaa. Sijui kama alikumbuka kureport hilo tukio polisi?

Hilo ni tapeli lililo kubuhuu hata namba ya gari itakuwa ya ujanja ujanja pole sana dada yangu milima haikutani lakini hukutana ipo siku mtakutana tu
 
dah,asante kwa angalizo na pole kwa yaliyokukuta. me huwa nina tabia moja, sipendi kujuana juana. mwisho wa siku wanaanza kunambia kuwa najisikia,mara naringa lakin ukweli unabaki pale pale!
Ukiona mtu anakuzoeazoea bila mpango kwenye mambo ya kazi,mali,pesa kuwa makini naye
 
Pole sana hao huwa wanakulevya from the moment you answer their first question, inasemekana wanatumia uchawi wanakunuizia kwamba uwe poyoyo kwa kila takwa lake usikae hata kimoja na dawa husika wanaweka chini ya ulimi anapoongea anakuwa kama anarelease pepo linalocontrol akili yako na reasoning capacity. .. wengine anakuwa kama anapiga miayo sana au kukusogelea sana anapokuongelesha ili huo uchawi ufanye kazi ya kukuingia kirahisi.
Tuombe ulinzi wa Mungu kila asubuhi maana mbinu za kutudhuru, kutukwaza na kuturudisha nyuma zipo nyingi mno.
Ulipoanza stori nikadhani ni ishu ya jana mitaa hiyo ya quality centre mana kulikuwa na ujambazi walikuwa wanarusha risasi hovyo mpk nasikia walijibizana na kikosi cha ffu maeneo ya kiwanda cha Araf
 
Nilivyoliona jina tu nikajua kuna mawili kama hajakufisadi basi kakutapeli!!
Pole sana
 
Pole sana ....
Nimejifunza kuwa makini zaidi na kustuka unapokutana na mtu kwa mara ya kwanza na kuonyesha kukuhitaji kwa jambo fulani kwa haraka.
Nikiwa form 3. Nlitoka kwenda kununua shat la shule. Wakat narudi nikakutana na mtu anamuulizia mama Juma katikati ya mji. That was 15 years ago. Sikuelewa mtu anauliziaje jina la mama flan katikat ya mji wakat hapo sio makaz ya watu ni eneo lina gas stations na banks na kituo cha bus. Nikamwambia simjui. Akaanza maelezo kwamba katokea songea huyo mama Juma kazaa mtoto ana kichwa cha ajabu akamkimbia so wamekuja nae ili wamkabidhi mwanae kama nataka kumuona yuki sehen flan. Akaja baba meingine akasema labda tukamuulizie sehem flan. Mi niliondoka very fast. Nlikua sijasikia bado wizi wa hvy ila nlikua mwoga sana wa stranger na namjua mamangu akikukuta na watu unajichelewesha utaipata hata kama unawajua.

nikisikiaga story za hv nakumbuka hy incident. Ila kwa kua nlikua form 3 na sikua na hata change ya hilo shat. Labda wangenibaka. Mungu tu alinisave siku ile
 
yamenikuta mwenzenu.

Ilikuwa ni siku ya jumatano saa tano asubuhi, nikiwa ndani ya quality centre nikaingia kwenye cash point kutoa pesa.pembeni kulikuwa na kijana anaongea na simu kwa nguvu.mimi nilikuwa na mwenzangu ambaye ndo alinifanya nikatoe pesa mana alikuwa ananidai, basi nilivyokwisha kuchukua pesa nikampa rafiki yangu za kwake zilizobaki nikaweka kwenye pulse haoo tukaondoka.

Tulipofika kwenye gari tukasikia mtu anaita kwa nguvu ''dadaa dadaa" yule mwenzangu akamwona akamwambia aniite, kumwangalia alikuwa ni yule kijana tuliomwona pale kwenye ATMs,akaomba kuongea nami nikatoka kwenye gari nikamsikiliza,kwakuwa nilikuwa naendesha gari la kampuni ambalo ni branded nadhani ndipo alipopatia mwanya wa kuanzia akasema anataka kufanya business na blabla kibao nikamwambia kwa wakati ule nipo busy itabidi nimschedule kwa kesho yake akasema yuko serious anataka akamilishe procedures zote za kufanya biashara na kampuni yetu, basi tukapanga tuonane jioni, kwa kuwa mimi sina usafiri binafsi nikachagua tuonane karibu na kazini ambapo ni quality centre lemon tree(msinijudge nature ya kazi yangu nafanya awkward hours),ikafika mida ya miadi nikaenda, yule jamaa alikuwepo akajitambulisha kwa jina la Paul Eric Shayo anafanya kazi Prime Minister's Office akanionyesha na ID yake,basi tukakaa kidogo tukaongea mara mwenzangu akasema twende peacock hotel kuna sehemu nzuri imetulia kwa juu,ila from the minute nimeongea nae mimi sikuwa normal nikawa najihisi kama nimekunywa pombe wakati niliagiza tu maji, na kila alichosema mi nilitii,basi tukaenda peacock hotel kuna kachilling place kule juu sijui kanaitwaje,cha kushangaza yule jamaa akawa haongei business tena akaanza kunambia kuwa amekuwa akifunga ili apate mke na Mungu kamuonyesha ni mimi,huyo mume niliyenae ni muigizaji tu,kwa kweli aliongea maneno mengi ya kutisha mpaka nikahisi sio binadamu yule kijana.akija muhudumu atamwambia "huyu mchumab wangu" akiongea na simu atasema "niko na mchumba wangu",nilistaajabu sana.wakati naondoka akaomba anipe lift nikakubali,kitendo cha mimi kuingia kwenye gari lake nilihisi kuishiwa na nguvu nikajikuta nipo pale shoprite pugu road kwenye ATM machine nakumbuka kumsikia ananiambia toa laki mbili na mimi nikatoa akasema lete kadi nikampa akachukua na pesa zote nilizokuwa nazo kwenye pochi..wakati huo wote nilikuwa kama mlevi fulani.nilikuwa nina mfuko una nguo na viatu vipya tukatoka hapo shoprite akaenda kwa speed mpaka mwenge pale bamaga kuna hotel pale kuna kagarden akasimamisha gari akanambia shuka haraka nikashuka akatoa gari kwa speed na mizigo yangu ikiwa mule ila pochi nilibeba,nilistuka baada ya dakika tano nikawa nimeshila wallet yangu nikaangalia hela hakuna kadi zote hakuna na niilmtajia mpaka pin.nikarudi nyumbani ila bado nilikuwa nayumbayumba.

Jamani kuna uwizi wa ajabu sana, jana nikaamua kumtafuta huyu mtu nikaenda polisi afu nikaenda kuulizia prime minister's office,waliulizana ofisi nzima mpaka HR wote waliangali majina ya watu wao lakini hakukuwa na jina hilo.NILITAPELIWA kwa kupumbazwa.ssa sijui ni dawa gani alitumia vipi mi sijui mana sikunyanyuka kwenda chooni tuseme ameweka kwenye kinywaji.nimekoma mie kuongea na strangers jamani nimekomaaaaa,hapa nilipo sina kadi naanza kuzunguka mapolisi na benki,kaniharibia financial situation yangu yote pumbavu zake nina hasira na nilishika namba yake ya gari kabla sijaingia kwa gari ni T 116 BGH.ninampango wa kumtafuta huyu mtu hata miaka mia nne ijayo lakini nitampata tuuu,nina hasira sana kama gari si lake basi mwenye gari atamtaja.

Wheeew jamani yamenikuta mwenzenu.

Kama ulimpa mkono ndiyo pale alipomaliza kila kitu,
Yani daah.
Pole sana dada yangu,
Kesi hii pia iliwahi kumkuta ndugu yangu wa karibu miaka kadhaa iliyopita.
siku hizi hupaswi kumpa mtu mkono hata kidogo.
kwa sababu kuna mambo mawili:
Ile mikono tayari imepakwa vitu fulani ili pindi utakapopitisha tu puani ukanusa shughuli imeisha.
au wengine wana madawa ya kienyeji akikushika tu mkono lolote atakalokwambia hubishi.
 
Mimi kuna ndugu yangu alikumbana naye mmoja kariakoo....akapumbazwa mpaka akaja nae mpaka geto....nikiwa nimetulia geto ghafla naona mwenzangu anakuja na kuanza kupekua....ile sehemu anapowekaga akiba zake.....kwa bahati nzuri siku ile nilifanya mabadiliko fulani ya kimpangilio humo chumbani....lakini kwa uharaka aliokuwa nao katika kutafuta na ukali wake pindi umuulizapo ulinifanya niwe na mashaka kwani haikuwa kawaida yake....na vile vile nilikuwa na taarifa za wizi wa aina hiyo.....kutoka nje nikamkuta mshikaji katulia nje huku akingoja mzigo wake........aliponiona ghafla akaanza kunichangamkia utasema tunajuana siku nyingi......nikamuuliza kiukali kuwa amemtuma nini jamaa kule ndani.....?? Niliuliza kwa ukali sana hadi akaanza kutetemeka na kuanza kujaza watu....ndipo tukamuita yule jamaa aliyekuwa akitafuta hela ndani....naye ili kumtoa wenge tukamtia kofi kubwa na tukamuuliza kwa ukali kuw huyu jamaa amekutuma nini....???

Jamaa akaanza kujikanyaga kanyaga na ndipo alipoanza kupokea kichapo kikali....mwishowe ikabidi niingilie ili asije kuuwawa na nikampeleka polisi.....
 
Kheeeeee hawa watu bado wapo nakumbuka mnamo mwaka 2008 hawao jamaa walishawai kunitokea maeneo ya tandika mchangani
 
Pole sana mkuu na hongera kwa kukariri ata namba ya gari, kama haikua ya magumashi utampata huyo mtu.Hii issue yako imewahi kunitokea mm pia hawa watu wapo na ukiingia anga zao unakua huna ujanja hata kidogo huwa natamani tujue namna ya kuwaepuka mana ni kazi sana.
Mimi ilinitokea ubungo darajani kama unaenda buguruni wakati huo nasoma UDSM nakaa nje ya mabibo hostel na nakumbuka ilikua siku ya boom, nilikutana na mzee mmoja na bibi (Sio wazee sana) wamekaa kama wananisubili wakaniita jina langu kosa nililofanya ni kuwasikiliza. Baada ya hapo walianza kunambia mambo mengi sana cha ajabu nilikua nashindwa hata kuwapinga wanalosema nilikua nimetoka atm nna laki 1 na nusu nikawapa yote wakanambia haitoshi niwapeleke atm wakachukue nyingine nikaenda nao atm wakabeba pesa yote ya boom. Wakati wote hata nikutane na wanafunzi naowajua wakinisalimia sijibu naona wananipotezea muda.
Baada ya kutoa pesa zote kwenye atm, kipindi hicho nilifanikiwa kununua bodaboda mana nilikua najitegemea hivyo nikaona ili nipunguze mzigo home ninunue bodaboda niwe napata kidogo, kuna dereva nilimpa akawa ananiletea hela kwa week siku hiyo bodaboda ilikua mbovu cha ajabu wale wazee walikua wanajua kuhusu hiyo pikipiki wakanambia wanataka niwape na pikipiki nikawambia haina shida ipo home wakasema tuongozane, hapo hata simu nimeshawapa mwenyewe tena nimetoa line nikawapa simu.
Tulipokaribia kufika home wakasema wananisubili karibu na home mimi nikawaletee pikipiki sikua najua chochote zaidi ya kusema ndio, kwa bahati nzuri nimefika home baba mwenye nyumba akaanza kunisemesha kama dk 3 ivi baada ya kumalizana nae nikaingia ndani kutoa pikipiki niwapelekee, ghafla kama fahamu zikaanza kurudi nikawa najiuliza hii pikipiki naipeleka wapi? kucheki mfukoni sina simu,sina hela. Hapo nikajua tayari nimeibiwa sikua na jinsi tena kwenda kuwacheki wale wazee sijawakuta, nilijaribu kuwa napita pale ubungo kwa mguu karibu miezi miwili ila sikuwaona tena, nikakata tamaa.

HUU WIZI WA AINA HUU UPO KWELI NA NI VIGUMU SANA KUTOKA.
 
pole sana....

Utapeli wa namna hiyo nishawahi kuusikia kuna binti aliibiwa pesa yake benki tena aliitoa mwenyewe kwenye atm.....

Ila why wanaibia wadada tu?

Kwa kuwa una namba za gari naamini una pa kuanzia, ukiwa na network hata details za mwenye gari utazipata tra

pole mwayego
 
si mazingaombwe wala nini, huyo jamaa alikumalizia pale pale cjuw wapi vile, pik...hotel. mhudumu aliyewaletea kinywaji alikuwa tayari ameandaliwa na hicho kinywaji ulichokunywa ndo kilikuwa kimefanyiwa majambozi

Ni mawazo yangu tu lakini

pole kwa yaliyokukuta, next time kuwa mwangalifu na stranger yeyote
 
yamenikuta mwenzenu.

Ilikuwa ni siku ya jumatano saa tano asubuhi, nikiwa ndani ya quality centre nikaingia kwenye cash point kutoa pesa.pembeni kulikuwa na kijana anaongea na simu kwa nguvu.mimi nilikuwa na mwenzangu ambaye ndo alinifanya nikatoe pesa mana alikuwa ananidai, basi nilivyokwisha kuchukua pesa nikampa rafiki yangu za kwake zilizobaki nikaweka kwenye pulse haoo tukaondoka.

Tulipofika kwenye gari tukasikia mtu anaita kwa nguvu ''dadaa dadaa" yule mwenzangu akamwona akamwambia aniite, kumwangalia alikuwa ni yule kijana tuliomwona pale kwenye ATMs,akaomba kuongea nami nikatoka kwenye gari nikamsikiliza,kwakuwa nilikuwa naendesha gari la kampuni ambalo ni branded nadhani ndipo alipopatia mwanya wa kuanzia akasema anataka kufanya business na blabla kibao nikamwambia kwa wakati ule nipo busy itabidi nimschedule kwa kesho yake akasema yuko serious anataka akamilishe procedures zote za kufanya biashara na kampuni yetu, basi tukapanga tuonane jioni, kwa kuwa mimi sina usafiri binafsi nikachagua tuonane karibu na kazini ambapo ni quality centre lemon tree(msinijudge nature ya kazi yangu nafanya awkward hours),ikafika mida ya miadi nikaenda, yule jamaa alikuwepo akajitambulisha kwa jina la Paul Eric Shayo anafanya kazi Prime Minister's Office akanionyesha na ID yake,basi tukakaa kidogo tukaongea mara mwenzangu akasema twende peacock hotel kuna sehemu nzuri imetulia kwa juu,ila from the minute nimeongea nae mimi sikuwa normal nikawa najihisi kama nimekunywa pombe wakati niliagiza tu maji, na kila alichosema mi nilitii,basi tukaenda peacock hotel kuna kachilling place kule juu sijui kanaitwaje,cha kushangaza yule jamaa akawa haongei business tena akaanza kunambia kuwa amekuwa akifunga ili apate mke na Mungu kamuonyesha ni mimi,huyo mume niliyenae ni muigizaji tu,kwa kweli aliongea maneno mengi ya kutisha mpaka nikahisi sio binadamu yule kijana.akija muhudumu atamwambia "huyu mchumab wangu" akiongea na simu atasema "niko na mchumba wangu",nilistaajabu sana.wakati naondoka akaomba anipe lift nikakubali,kitendo cha mimi kuingia kwenye gari lake nilihisi kuishiwa na nguvu nikajikuta nipo pale shoprite pugu road kwenye ATM machine nakumbuka kumsikia ananiambia toa laki mbili na mimi nikatoa akasema lete kadi nikampa akachukua na pesa zote nilizokuwa nazo kwenye pochi..wakati huo wote nilikuwa kama mlevi fulani.nilikuwa nina mfuko una nguo na viatu vipya tukatoka hapo shoprite akaenda kwa speed mpaka mwenge pale bamaga kuna hotel pale kuna kagarden akasimamisha gari akanambia shuka haraka nikashuka akatoa gari kwa speed na mizigo yangu ikiwa mule ila pochi nilibeba,nilistuka baada ya dakika tano nikawa nimeshila wallet yangu nikaangalia hela hakuna kadi zote hakuna na niilmtajia mpaka pin.nikarudi nyumbani ila bado nilikuwa nayumbayumba.

Jamani kuna uwizi wa ajabu sana, jana nikaamua kumtafuta huyu mtu nikaenda polisi afu nikaenda kuulizia prime minister's office,waliulizana ofisi nzima mpaka HR wote waliangali majina ya watu wao lakini hakukuwa na jina hilo.NILITAPELIWA kwa kupumbazwa.ssa sijui ni dawa gani alitumia vipi mi sijui mana sikunyanyuka kwenda chooni tuseme ameweka kwenye kinywaji.nimekoma mie kuongea na strangers jamani nimekomaaaaa,hapa nilipo sina kadi naanza kuzunguka mapolisi na benki,kaniharibia financial situation yangu yote pumbavu zake nina hasira na nilishika namba yake ya gari kabla sijaingia kwa gari ni T 116 BGH.ninampango wa kumtafuta huyu mtu hata miaka mia nne ijayo lakini nitampata tuuu,nina hasira sana kama gari si lake basi mwenye gari atamtaja.

Wheeew jamani yamenikuta mwenzenu.
kwakweli MsaMee coz niseMeMu ya kazi yake na katiMuza waJiBu wake,,!
 
Kwa ufupi ni pafyum mtu anajipulizia halafu anameza vidonge ambavyo vitazuia isimdhuru yy ila ana uwezo wa kumdhuru mtu alie karibu yake ukivuta ile harufu ambayo we utaona ni marashi ya kawaida tu.kumbe unavuta sumu.
 
Halafu dada yangu next time ukiitwa na mtu usiye mfahaam toa taarifa kwa watu wako wa karibu na pia usiende peke ako tafuta board guard na uwe nae.
 
Kuepuka haya nilishaacha kitambo kutembea na aina yoyote inaitwa card. Nina ID ya chuo na kazini. Nilishaacha kusalimiana na watu nisiowajua hasa wale wanaonichangamkia bila sababu. Miaka ya nyumba sana huko kuna muhindi koko mmoja alinikosakosa kunipeleka gesti.
 
yamenikuta mwenzenu.

Ilikuwa ni siku ya jumatano saa tano asubuhi, nikiwa ndani ya quality centre nikaingia kwenye cash point kutoa pesa.pembeni kulikuwa na kijana anaongea na simu kwa nguvu.mimi nilikuwa na mwenzangu ambaye ndo alinifanya nikatoe pesa mana alikuwa ananidai, basi nilivyokwisha kuchukua pesa nikampa rafiki yangu za kwake zilizobaki nikaweka kwenye pulse haoo tukaondoka.

Tulipofika kwenye gari tukasikia mtu anaita kwa nguvu ''dadaa dadaa" yule mwenzangu akamwona akamwambia aniite, kumwangalia alikuwa ni yule kijana tuliomwona pale kwenye ATMs,akaomba kuongea nami nikatoka kwenye gari nikamsikiliza,kwakuwa nilikuwa naendesha gari la kampuni ambalo ni branded nadhani ndipo alipopatia mwanya wa kuanzia akasema anataka kufanya business na blabla kibao nikamwambia kwa wakati ule nipo busy itabidi nimschedule kwa kesho yake akasema yuko serious anataka akamilishe procedures zote za kufanya biashara na kampuni yetu, basi tukapanga tuonane jioni, kwa kuwa mimi sina usafiri binafsi nikachagua tuonane karibu na kazini ambapo ni quality centre lemon tree(msinijudge nature ya kazi yangu nafanya awkward hours),ikafika mida ya miadi nikaenda, yule jamaa alikuwepo akajitambulisha kwa jina la Paul Eric Shayo anafanya kazi Prime Minister's Office akanionyesha na ID yake,basi tukakaa kidogo tukaongea mara mwenzangu akasema twende peacock hotel kuna sehemu nzuri imetulia kwa juu,ila from the minute nimeongea nae mimi sikuwa normal nikawa najihisi kama nimekunywa pombe wakati niliagiza tu maji, na kila alichosema mi nilitii,basi tukaenda peacock hotel kuna kachilling place kule juu sijui kanaitwaje,cha kushangaza yule jamaa akawa haongei business tena akaanza kunambia kuwa amekuwa akifunga ili apate mke na Mungu kamuonyesha ni mimi,huyo mume niliyenae ni muigizaji tu,kwa kweli aliongea maneno mengi ya kutisha mpaka nikahisi sio binadamu yule kijana.akija muhudumu atamwambia "huyu mchumab wangu" akiongea na simu atasema "niko na mchumba wangu",nilistaajabu sana.wakati naondoka akaomba anipe lift nikakubali,kitendo cha mimi kuingia kwenye gari lake nilihisi kuishiwa na nguvu nikajikuta nipo pale shoprite pugu road kwenye ATM machine nakumbuka kumsikia ananiambia toa laki mbili na mimi nikatoa akasema lete kadi nikampa akachukua na pesa zote nilizokuwa nazo kwenye pochi..wakati huo wote nilikuwa kama mlevi fulani.nilikuwa nina mfuko una nguo na viatu vipya tukatoka hapo shoprite akaenda kwa speed mpaka mwenge pale bamaga kuna hotel pale kuna kagarden akasimamisha gari akanambia shuka haraka nikashuka akatoa gari kwa speed na mizigo yangu ikiwa mule ila pochi nilibeba,nilistuka baada ya dakika tano nikawa nimeshila wallet yangu nikaangalia hela hakuna kadi zote hakuna na niilmtajia mpaka pin.nikarudi nyumbani ila bado nilikuwa nayumbayumba.

Jamani kuna uwizi wa ajabu sana, jana nikaamua kumtafuta huyu mtu nikaenda polisi afu nikaenda kuulizia prime minister's office,waliulizana ofisi nzima mpaka HR wote waliangali majina ya watu wao lakini hakukuwa na jina hilo.NILITAPELIWA kwa kupumbazwa.ssa sijui ni dawa gani alitumia vipi mi sijui mana sikunyanyuka kwenda chooni tuseme ameweka kwenye kinywaji.nimekoma mie kuongea na strangers jamani nimekomaaaaa,hapa nilipo sina kadi naanza kuzunguka mapolisi na benki,kaniharibia financial situation yangu yote pumbavu zake nina hasira na nilishika namba yake ya gari kabla sijaingia kwa gari ni T 116 BGH.ninampango wa kumtafuta huyu mtu hata miaka mia nne ijayo lakini nitampata tuuu,nina hasira sana kama gari si lake basi mwenye gari atamtaja.

Wheeew jamani yamenikuta mwenzenu.
Kuna sehemu umeediti au umefowadi...
 
Back
Top Bottom