Yeke Yeke!!...

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,709
Yani naandika hapa huku nacheka sana!Wimbo huu wa Mory Cante(sijui nimepatia spelling za hili jina!)ndo nausikia kwenye kituo kimoja cha radio muda huu,nakumbuka kama sikosei kwa mara ya kwanza nilipokuwa nausikia mwaka 1987 tulikuwa na michezo ile ya baba na mama,tulikuwa hatujali kama huo ubaba na umama uliwahusisha ndugu,na sio siri hata ile "michezo" ya baba na mama!!(naimani Mungu ametusamehe)Au mnabisha?Nimecheka sana!
 
weeh eiyer umeanza zamani eeh,teh teh! naupenda sana huu wimbo,tatizo maneno yake siyajui so inabidi nisiuimbe hadharani manake!sijui hata niliupata wapi!
 
Yeke yeke mwenyewe anakaa mtaa wa Mkunguni, Kariakoo. Dar.
 
Kuna dogo mmoja huwa nikimkumbuka nacheka sana,alikuwa anaima ile sentence ya ubeti wa kwanza hivi;"vitusu vinanukiaa aaa",vitusu akimaamisha vitumbua!Teh,teh,teh!
 
Eiyer.... Waachani watoto wadogo waje
Kwangu maana ufalme .........
Usiku mwema.
 
Kitunguu kinanukiaaaaa ee! Shemeji nae leo kaenda kupikia...........yekekee tuwe yekeyeke. Mkubwa unikumbusha mambo ya kitambo sana. Pia nakumbuka nyimbo kama london beats nk.
 
hahaha, mi naimba vikuku! na sehemu 'shemeji nae ooh, kanambia lala eeh...'
Kuna dogo mmoja huwa nikimkumbuka nacheka sana,alikuwa anaima ile sentence ya ubeti wa kwanza hivi;"vitusu vinanukiaa aaa",vitusu akimaamisha vitumbua!Teh,teh,teh!
 
Yani naandika hapa huku nacheka sana!Wimbo huu wa Mory Cante(sijui nimepatia spelling za hili jina!)ndo nausikia kwenye kituo kimoja cha radio muda huu,nakumbuka kama sikosei kwa mara ya kwanza nilipokuwa nausikia mwaka 1987 tulikuwa na michezo ile ya baba na mama,tulikuwa hatujali kama huo ubaba na umama uliwahusisha ndugu,na sio siri hata ile "michezo" ya baba na mama!!(naimani Mungu ametusamehe)Au mnabisha?Nimecheka sana!
yaelekea we kikongwe sana mkuu,mwaka huo,wengne 2likua ha2jafkria hata kuzaliwa!
 
Kitunguu kinanukiaaaaa ee! Shemeji nae leo kaenda kupikia...........yekekee tuwe yekeyeke. Mkubwa unikumbusha mambo ya kitambo sana. Pia nakumbuka nyimbo kama london beats nk.
Teh,teh,teh.....Kutabasam asubuhi kuna utam wake!
 
Imeandikwa zamani hizo mungu alijifanya haoni maovu yao, aliyafumbia macho kwa kuwa hawakuwa wanajua walitendalo.
 
Back
Top Bottom