Globu
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 8,568
- 2,063
Tunashauriwa kwamba, watu wanaosafiri kwa kutumia vyombo vya BAHARINI kuvaa viatu aina ya YEBO YEBO. Utafiti uliofanywa imeonekana kwamba aina hii ya viatu huwa hazizami baharini. Baadhi ya watu waliookolewa hivi karibuni katika ajali ya meli huko ZANZIBAR Kukutikana wakitembea juu ya maji wakiwa wamevaa YEBO YEBO.