Yawezekana yule jamaa yetu alipokea sms iliyompoteza mawazo...

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
Kwenye ile video ya ustaadhi inaonekana alipokea sms mbili. Inadaiwa -na vyanzo vya kuaminika - kuwa maalim alipokea sms mbili; moja toka kwa "betina" na nyingine kutoka kwa Miss Bantu. Ile ya miss Bantu ndio ilimkoroga. Je kuna mtu anaweza kuhisi ilsema nini!?
 
Back
Top Bottom