Nakuunga mkono kabisa. Pamoja na kuwa sikubaliani na tabia ya kuwagandamiza wengine lakini pia sikubaliani na wenye mawazo duni ya kutumia nguvu kupata kile wote tunachokitamani. The mouth speaks what the heart has. The evil tree can not bear good fruits let us not think of these evil things there are better ways of getting to our destiny and if u do ur part faithfully surely the situation will change from what we have to a better state. Acheni kuilaani nchi yetu na kamwe hatutakubali iwe hivyo we will use the right weapons to fight as we already have experience on that; the foundation which was laid by the founders of these nations. We are unique; perculiar people not found any where in this world; blessed are we and blessed shall we remain. No weapon fassioned against us shall prosper; for sure a thousand shall fall on our left side and ten thousands on our right side.
Nchi zote zenye maendeleo ya kweli kulikuwa na vitu kama hivi: ukianzia Taifa Kubwa kama Marekani/Japan/UK/Russia/Korea/China/German/France/Italy baada ya civil war mambo ndo yakawa mazuri lakini kabla ya hapo ilikuwa kama Tanzania/Liberia/Uganda/Kenya etc. Kwa hiyo Tanzania kupata maendeleo lazima tupitiye mfumo huu wa civil war, hakutakuwa na cha Chenge/Mkapa/Azizi/ na mafisadi wengine tena.