Yaweza Kutokea TZ? (Disturbing Pictures)

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,810
034.jpg

040.jpg

048.jpg

042.jpg

044.jpg

049.jpg

052.jpg

058.jpg

063.jpg

071.jpg

076.jpg

079A.jpg

130.jpg

150a.jpg

Ndugu wacha kuharibu picha nzuri ya nchi yetu -- tanzania ni moja , ina amani upendo na utulivu haijawahi kuwa na mchafuko wala kuzalisha askari wadogo wapiganaji please respect our country and its people
 
Wakazi wa Pemba wangekuwa si wavumilivu, Hunafikiria matokeo yangekuwa vipi?
 
Wavumilivu kivipi ? Wale ni watanzania hakuna kitu kinachoitwa pemba sasa hivi kwahiyo futa hilo neno la wapemba
 
Hivi wewe unaelewa kiswahili...!?

Na hilo neno wapemba ni wapi nimelisema!?

Wakazi wa Pemba wangekuwa si wavumilivu, Hunafikiria matokeo yangekuwa vipi?

Si kila jambo lazima ulitie mdomoni.
 
matatizo kama haya ni rahisi kutokea nchi yoyote na sababu kubwa inatokana na kutokuwepo na utawala bora unaozingatia haki na usawa wa raia wote, na mara nyingi fujo kama hizi ahzisababishwi na kitu kikubwa kunakuwa nan mrundikano wa matatizo ya muda mrefu,na inafikia watu kuchoka kwa hiyo ka-kisa kadogo tu kanasababisha fujo kuu
kujibu swali lako kwa sasa Tanzania hali hii kutokea ni rahisi sana, kwani watu wameshachoka kupita kiasi maisha ya Tanzaznia kwa sasa ni magumu mno, haki na usawa hakuna hata kidogo, utawala wa sheria nao ndio zero kabisa, uwazi kati ya maskini na matajiri ni mkubwa sana, kwa mtazamo wangu mimi naona imeshamwaga inasubiri mtu atupie njiti ya kibiriti tu na biashara ianze
 
Ndugu wacha kuharibu picha nzuri ya nchi yetu -- tanzania ni moja , ina amani upendo na utulivu haijawahi kuwa na mchafuko wala kuzalisha askari wadogo wapiganaji please respect our country and its people

Hivyo vyote hamna mkuu, labda kama kwako kutokuwa na amani ni vita tu!

haki huondoa machafuko, nchi nyingi zilizokuwa na amani ilitoweka ghafla!

ukishika silaha unajiona 'rambo' ati kesho unatamai tena ushike, TUSIOMBEE VITA ITOKEE, ILA 'AMANI' HAIPO NCHI HII!
 
Si ndio hao wanasiasa wanawahutubia raiya, wanawaambia wasimike bendera wasalimike
 
Small nations with weak,corruptive and mean leadera are like indecently dressed women.They temp the evil minded.
I would not be astonished to see such havoc occur in our country coz of the likes of the leaders we hve ib power with nothing in their mind but to accumulate for themselves.
the poor people get tired and as a result they tend to take matters in their own hands!
 
" now i lay down to sleep i pray lord my soul to keep should i die before i wake i pray lord my soul to take"
 
Ndugu wacha kuharibu picha nzuri ya nchi yetu -- tanzania ni moja , ina amani upendo na utulivu haijawahi kuwa na mchafuko wala kuzalisha askari wadogo wapiganaji please respect our country and its people

Tusipo jifunza kwa wenzetu kama kwenye hizo picha hata hii amani tunayo jivunia ita potea. Siyo vibaya kuona picha kama hizi ili zitu kumbushe thamani ya amani yetu na uhuru wetu.
 
matatizo kama haya ni rahisi kutokea nchi yoyote na sababu kubwa inatokana na kutokuwepo na utawala bora unaozingatia haki na usawa wa raia wote, na mara nyingi fujo kama hizi ahzisababishwi na kitu kikubwa kunakuwa nan mrundikano wa matatizo ya muda mrefu,na inafikia watu kuchoka kwa hiyo ka-kisa kadogo tu kanasababisha fujo kuu
kujibu swali lako kwa sasa Tanzania hali hii kutokea ni rahisi sana, kwani watu wameshachoka kupita kiasi maisha ya Tanzaznia kwa sasa ni magumu mno, haki na usawa hakuna hata kidogo, utawala wa sheria nao ndio zero kabisa, uwazi kati ya maskini na matajiri ni mkubwa sana, kwa mtazamo wangu mimi naona imeshamwaga inasubiri mtu atupie njiti ya kibiriti tu na biashara ianze

Uliyoyasema yote ni kweli kwani kufumba na kufumbua amani tuliyonayo inaweza kutoweka kwa sababu ya ubinafsi uliyokithili hapa Tanzania, waliopo madarakani wanatawala pasipo HAKI. Ila mungu atusaidie yasitukute mambo kama haya. Mungu ibariki Tanzania na uiponye! Ombi langu kwa Mungu ni kuwa awaangamize mafisadi walao kodi za wananchi
 
Ndugu wacha kuharibu picha nzuri ya nchi yetu -- tanzania ni moja , ina amani upendo na utulivu haijawahi kuwa na mchafuko wala kuzalisha askari wadogo wapiganaji please respect our country and its people
Kwani hao wamemkkosea nini MUNGU na wewe Mtanzania umemfanyia nini uwe bora kuliko wao.

Hayo unayoyaona hapo juu ni OUTPUT.
 
Ni Output ya mfumo kandamizi,usiyojali maslahi ya umma(majority),mfumo unatukuza tabaka fulani na kulipa upendeleo wa KUKUSANYA kwa mbinu zozote.
 
hizo pics mpaka zimenitoa machozi, haaa hapana !wengne ni watoto wadogo bado.
 
Mkuu unapoonyesha hizo picha usitaje Tanzania. Hayo matukio ni laana na Tanzania hatujallaniwa kiasi hicho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom