Yawaje sasa kwangu akuite ni kichinjioni?

yawezekana akija kwako wamchinja,
chachandu wampaka na jikoni kumuweka,
akishaiva wamuepua na kisha kumpoza,
tayari kumtafuna na mifupa kuimeza.

kwa minajili hiyo, kweli kwako ni kichinjioni.
 
yawezekana akija kwako wamchinja,
chachandu wampaka na jikoni kumuweka,
akishaiva wamuepua na kisha kumpoza,
tayari kumtafuna na mifupa kuimeza.

kwa minajili hiyo, kweli kwako ni kichinjioni.

Al Zagawi......kama nikibakiza mifupa basi siyo kichinjioni?
 
Ruta labda ulizidisha sana kumfyeka huyo binti,ndio maana akakuta kwako ni kichinjioni.

kichomiz ngoja nikamwuulizie...........................LOL
 
Last edited by a moderator:
na usilambe ndimu wala limao kuondoa kichefuchefu,tapika mwaya kwani ukishatapika kuyarudisha tena c rahic.

JOJEETA tuko pamoja khapo kwa papo...............
 
Last edited by a moderator:
Sasa kama kila akifika hapo kwako anakukuta kisu mkononi unataka kumchinja, asemeje?

yaani[MENTION] King'asti[/MENTION] kama angelikuwa kafika angalau hata hilo lingekuwepo kwenye ajenda tatizo hataki hata kukanyaga kwangu na kesha kubatiza hilo jina baya............
 
pole kaka ila watu nyie mie wala sihisi huruma juu yenu hata!!

[MENTION]Merrita[/MENTION]......kama hunionei huruma sasa pole ya nini kama siyo wanisanifu tu.............
 
kuna uchinjaji ambao mchinjwa hafi......sasa mwenzio kachoka kuchinjwa daily

BADILI TABIA......................kama amechoka kuchinjwa daily sasa si aishie tu ijlikane moja ya haya masimango yanatoka wapi.............
 
Last edited by a moderator:
dah pole mwaya inaelekea yy akija kwako huwa unamchinjilia mbali bila utayari wake, sasa nakushauri upunguze jazba, papara na uroho,kuwa mpole na mstarabu hata ukitaka kumchinja analaza mwenyewe shingo yake taratiiibu tayari kwa maangamizo, akikataa uwe mtulivu na kama umeshindwa waachie wenzio
 
Heri yako, mie niliwahi kuitwa KIGODORO.................................

najaribu kutafuta maana halisi ya kukuita kigodoro... labda kimbaumbau chembamba kiasi kwamba akifananisha na kigodoro kidogooo chembamba kilichochokachoka ambacho ukilalia badala ya kupata raha unaumiza mbavu..... !!! najaribu tu kujenga taswira kuwa that thing between two legs ndio alikifananisha na kigodogo hicho!
 
Rutashubanyuma yafaa akuite hivyo
Kila akija wamfanya asusa
Kusema yalo moyoni
Ilimpasa kwa lazima
Angali wako mwendo
Kila ukutanapo nae
 
Back
Top Bottom