Yasemekana karibu watu 300 hawana makazi

MUREFU

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,331
350
Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha dar hali inazid kuwa mbaya huenda hali ya makaz ya watu kuendelea kualibiwa vibaya hasa wanaoish mabonden. Kwan mpaka sasa inasemekana watu zaid au inakaribia 300 hawana makaz ya kuishi. Hivi tanzania kunamfuko wowote wa maafa nikimaanisha kuna fungu lolote la maafa kama haya. Au ndo kila siku mpaka yatokee ndo tunajifunza kupitia kuko. Kuna nchi kama THAILAND na PHILIPINO mafuliko kwao ni kama sehemu ya kawaida ila huwa wanachukuwa tahathar kupitia selikar zao je sisi hapa nini kinachoendelea au ndo hyo HEDICOPTA MOJA ndo inaokoa
 
"Yasemekana karibu watu 300 hawana makazi" .... Pia inasemekana Rais ametoa agizo ... washughulikiwe haraka iwezekanavyo ... na agizo la Rais ...ni sheria !!
 
Back
Top Bottom