Yard ya magari inatakiwa.

Tumba

Member
Mar 2, 2011
37
2
Wadau inahitajika Yard ya kuuzia magari( car show room) yenye uwezo wa kuhifadhi magari yasiyopungua 200. Pia iwe pembeni ya main roads ili bidhaa zionekane kiurahisi kwa watu wanaotumia barabara hiyo. Wenye kujua sehemu hiyo kama nilivyoeleza naombeni msaada wenu ikiwa ni pamoja na mchango wa mawazo na ushauri mbalimbali.
 
main road ya wapi,kuwa specific,chanika,kibaha,bagamoyo,segerea kigamboni or where.vipi kama huna mtu wa marketing waone wataalamu wakupe nondo kabla hujaweka request yako hapa jamvini.
 
Ndg kabla hujacoment kitu ni lazima ufikilie deeply. Nimesema main roads cjataja wapi. so nilitegemea unambie ipo wapi then mie nianze kuifanyia kazi. Najua huna input yoyote so beta 2 keep cul au utafune jojo tu. I strongly believe wenye nia ya dhati na wenye contributions wanaelewa vizuri.
 
Ndugu yangu,naona unatupotezea muda,kibiashara hakuna na wala hakutakua na tangazo la namna hiyo duniani.palipo na ukweli usinune,just clarify twende mbele,what am trying to do here is just to re arrange your requirements na hasa kupunguza wigo.tubaki na kaeneo kadogo unakokahitaji.otherwise kama umenuna,kanunue Generators za Dowans Utuwashie umeme tukulipe.
 
Muone yusufu manji maeneo ya pugu road aka nyerere rd ana plots kibao kubwa anauza minimum 16bn itakufaa sana pale ni centre!
 
nina eneo langu pembezoni mwa barabara ya kwenda mpiji, ina uwezo wa kuaccomodate magari yako, nitafute through 0717677389
 
Back
Top Bottom