Yani hawa Ray na Kanumba ni vilaza kweli

Human beings exist to maximize utility and minimize pains. If buying a 200mil car is achieving either of these, the boy is correct. Let him enjoy kama amezipata kiharali na sio kudhulumu wasanii wenzie. Unawajua wachimba madini?
 
Eti kila mmoja kanunua gari la mil 200 yale yaliyowashinda wabunge, hawa jamaa zimo kweli? Hawajawa bado masuper star ndo hivo je wakiwa? Ulimbukeni bwana ni kitu kibaya sana, wao wanaona washamaliza kila kitu kumbe ndo kwanza safari ndo inaanza...vilaza sana hawa jamaa

Hivi ulitaka hiyo pesa wafanyie matumizi gani? Wabongo bwana!
 
Kwani tatizo nini haswa? Si kila mtu na raha yake! Kama wewe raha yako ilikua kuwaanika. And it backfired on u. ukikutana nao njiani, omba lift. Wakikutosa, rudi na thread nyingine.
 
Eti kila mmoja kanunua gari la mil 200 yale yaliyowashinda wabunge, hawa jamaa zimo kweli? Hawajawa bado masuper star ndo hivo je wakiwa? Ulimbukeni bwana ni kitu kibaya sana, wao wanaona washamaliza kila kitu kumbe ndo kwanza safari ndo inaanza...vilaza sana hawa jamaa

unataka kutuambukiza wivu wako?? hizo pesa ni zao au za umma?? kama zao kinakuwasha nini?? tafuta zako nawewe kanunue hata ya mil. 400 maendeleo ndo yako ivo sio unaanza kuponda..unadhani wangenunua magari hayo kama hawana hela???kenge wee...unawaza kwa kutumia masaburi eehh!!
 
Acha wivu wako unaona ustar deal mwenyewe,kama wanazo kwanini wasinunue ? Fanya kaz kwa bidii na wewe unanune yako
 
Eti kila mmoja kanunua gari la mil 200 yale yaliyowashinda wabunge, hawa jamaa zimo kweli? Hawajawa bado masuper star ndo hivo je wakiwa? Ulimbukeni bwana ni kitu kibaya sana, wao wanaona washamaliza kila kitu kumbe ndo kwanza safari ndo inaanza...vilaza sana hawa jamaa

GARI GANI HAYA YA KIJAPANI AU KAMA LANGU Lamborghini Countach
 
mbona ray kwenye blog yake kaandika kanunua gari ya milion 60-hizi 200 zimetoka wapi tena-
 
Mimi sidhani kama kuna tatizo, hawajaiba cha mtu, hela wametafuta wenyewe kwa jasho lao. Nadhani kila mtu ana haki na uhuru wa kuamua hela yake binafsi aitumie vipi.
 
Eti kila mmoja kanunua gari la mil 200 yale yaliyowashinda wabunge, hawa jamaa zimo kweli? Hawajawa bado masuper star ndo hivo je wakiwa? Ulimbukeni bwana ni kitu kibaya sana, wao wanaona washamaliza kila kitu kumbe ndo kwanza safari ndo inaanza...vilaza sana hawa jamaa

Ray, Kanumba Vs Papaaa Musofee!!!
 
Kama hela zipo kwanini wasifanye hivyo? Angekuwea 50cent amenunua hayo magari mngetupia mapicha hapa ya kufagilia hebu kwa mara moja tuappreciate hawa viumbe wenzetu wa humu ndani bana alah!
 
Eti kila mmoja kanunua gari la mil 200 yale yaliyowashinda wabunge, hawa jamaa zimo kweli? Hawajawa bado masuper star ndo hivo je wakiwa? Ulimbukeni bwana ni kitu kibaya sana, wao wanaona washamaliza kila kitu kumbe ndo kwanza safari ndo inaanza...vilaza sana hawa jamaa

Acha wivu mtoto wa kiume. Kwani umesikia wamemwibia mtu???. Raha jipe mwenyewe bwana hasa kama hali inaruhusu
 
Back
Top Bottom