Yani hawa Ray na Kanumba ni vilaza kweli

Tukijadili mambo ya kitaifa itakuwa bora zaidi, suala la kununua gari la bei kubwa siyo issue, think critically!

we nawe mambo ya taifa gani? Tusipumue kujiburudisha na udaku kidogo mara ooh taifa hilo taifa toka tumeanza kulizungumza hakuna lolote zaidi ya shida kuongezeka
 
Eti kila mmoja kanunua gari la mil 200 yale yaliyowashinda wabunge, hawa jamaa zimo kweli? Hawajawa bado masuper star ndo hivo je wakiwa? Ulimbukeni bwana ni kitu kibaya sana, wao wanaona washamaliza kila kitu kumbe ndo kwanza safari ndo inaanza...vilaza sana hawa jamaa

Jamani mwenzako akifanikiwa msifie tena umuombee kwa Mungu ili afanikiwe zaidi kwa kufanya hivo na ww ubarikiwa, wivu wa nn c wao!!!!
 
tuwape hongera zao,
siku wakishindwa kuyarun si watayabadilisha tu,
na kama ni hivyo kumbe kazi yao inalipa vizuri tu.
 
Hela wametafuta wao. Matumizi mnapanga nyinyi. Hizi zote ni attributes za umasikini wa fikra.
 
Hoja yako ni nini? Kama mifuko yao inaruhusu wewe inakuuma nini? Halafu eti unadriki kuwaita vilaza wewe ndio kilaza!
 
Hizo picha umeka we kanumba mwenyewe unatafuta sifa huku nenda na picha zako huko kwa watoto wenzako huko fb.
 
kununua gari la gharama kupita maelezo ni tabia ya most of sisi tanzanians.... Yaani sie ni watumiaji kuliko kutunza pesa... Ni sawa tu na simu, mtu unamshahara wa laki nane (tsh. 800,000/=) na wala huna shughuli nyingine but simu ulonayo ni 1.2 m....

dadangu umenifurahisha kweli hapa ofisini kuna kabosi kana ibilisi wa ngono kanapenda kweli lakini vibinti vilivyompatia mlo kila mmoja analalamika akipata kamoja kwishna ..lakini kesho ake anaitaji mwingine kweli tunaelekea pabaya
 
Mlitaka wapande bajaji muwaweke kwenye magazeti wamechokajamani mbona hivyokaulizeni uganda huko wasaniii wanajua maana ya matumizi na wakishindwa si wanayauza walishakuja kuwagongea hodi muwajazie mafuta
 
Eti kila mmoja kanunua gari la mil 200 yale yaliyowashinda wabunge, hawa jamaa zimo kweli? Hawajawa bado masuper star ndo hivo je wakiwa? Ulimbukeni bwana ni kitu kibaya sana, wao wanaona washamaliza kila kitu kumbe ndo kwanza safari ndo inaanza...vilaza sana hawa jamaa
Kwanza nipe aina ya magari waliyonunua, pili naomba unithibitishie habari yako kwa ushahidi unaoingia akilini vingievyo nitajua umekurupuka kwa kuangalia magari yanayotumika kwenye magari ukajua ni ya kwao.
 
Milioni 200 ambazo ni karibia dola laki mbili?Acheni uongo,hayo magari hayana thamani hiyo hata yote mawili kwa mkupuo.
Zimekuwa Lamboghini?What is our current exchange rate dollarwise?
Ni mazuri lakini hilo la bei ni uongo,sijui inasaidia nini.
 
Back
Top Bottom