Yani hawa Ray na Kanumba ni vilaza kweli

eh! hela wametafuta wenyewe!! wala hukuwapa ramani ya kuzipata........
Sasa wamejinunulia wanachokipenda unaumia nini?????
Acha wivu wewe...............
Mimi nawapa Big up
 
maisha ya nchi maskini huwa yananishangaza sana. Bora hiyo hela wangeenda kusomea sanaaa walau kwa kiwango cha digrii kuliko kinunua ji-gari ambalo halikuletei faida yoyote zaidi ya hasara.

Ray na kanumba nendeni shule ili baadae muwe walimu wa sanaaa; acheni uf$4$**xyz.

mtu afanye kinachompendeza na nafsi yake......

Kama wewe unataka kusomea sanaa si uende wewe!!!!! Kulikoni kuwapangia wenzio maisha unayotaka wewe??
 
ni kweli bt kaka ndo wachukue ya mil20
kweli? Hivyo vifaa bado wanatumia bado ni vya third party....kwa hamna magari mazuri tu comfortable japo ya mil50?
Nimesoma kuwa magari waliyonunua si ya mamilioni kama tunavyodhani bali la Kanumba ni m78 kama sikosei,na kwa kuwa mfuko wao unawaruhusu kufanya hivyo mimi sioni tatizo ni maisha yao na maamuzi yao,hata leo wakiamua kutembelea Bajaji ni nani atawazuia?
 
Tukijadili mambo ya kitaifa itakuwa bora zaidi, suala la kununua gari la bei kubwa siyo issue, think critically!
 
eh! hela wametafuta wenyewe!! wala hukuwapa ramani ya kuzipata........
Sasa wamejinunulia wanachokipenda unaumia nini?????
Acha wivu wewe...............
Mimi nawapa Big up[

Bora mama umesema wakati wanatafuta yeye anatumwatumwa na bosi wake ofisini huku anafokewa halafu anawaponda, hivi unajua wanalipwa bei gani kuigiza hizo movie zao japokuwa wengi hatuzipendi, hawa jamaa wanapata pesa za kutosha kibongobongo,, yaan ni ngumu sana kwa mwajiriwa wa kawaida kufikia annual income zao,, na nina imani miezi michache ijayo itakuja maada RAY MJINGA KISA AMEJENGA GHOROFA wakati muanzisha maada Nyumba amepanga na hata vitz hana.... na ukicheki umri unaelekea 40 haeleweki wakati kanumba kwa kukisia ni around 28--34 ameshasimama vya kutosha na bado anachakalika kwa spidi ya KILA WIKI MOVIE MPYA na akiendelea hivi nina imani atakuja kupata dili na kina blad pitt, James Cameron na wengineo especially wakija kwenye project za movies about africa huwa wanamix na waigizaji wa kiafrica hapo ndo HATERS WATAVYOJIBEBA KAMA SIO KUNYWA SUMU
 
Wakipanda Daladala, Bajaj wbongo mtachonga tuu...jalini maisha yenu binafsi ya mwengine yanawahusu nini? ata ndege wakinunua kesho poa tuu. tutapishana huko huko angani!
 
Eti kila mmoja kanunua gari la mil 200 yale yaliyowashinda wabunge, hawa jamaa zimo kweli? Hawajawa bado masuper star ndo hivo je wakiwa? Ulimbukeni bwana ni kitu kibaya sana, wao wanaona washamaliza kila kitu kumbe ndo kwanza safari ndo inaanza...vilaza sana hawa jamaa

Yani hii post imeifanya asubuhi asubuhi,,,inamaana hulali wewe unafikiria maisha ya wenzako. Utaolewa kaka!
 
Eti kila mmoja kanunua gari la mil 200 yale yaliyowashinda wabunge, hawa jamaa zimo kweli? Hawajawa bado masuper star ndo hivo je wakiwa? Ulimbukeni bwana ni kitu kibaya sana, wao wanaona washamaliza kila kitu kumbe ndo kwanza safari ndo inaanza...vilaza sana hawa jamaa

Wangechukua TOYO naamini pia ungeandika... wangetembea kwa miguu pia ungeandika... wameamua kuridhisha nafsi zao/kukamilisha ndoto zao ndoto yako haiwezi kufanana na ya kwao so live your life and you will be happy...
 
Eti kila mmoja kanunua gari la mil 200 yale yaliyowashinda wabunge, hawa jamaa zimo kweli? Hawajawa bado masuper star ndo hivo je wakiwa? Ulimbukeni bwana ni kitu kibaya sana, wao wanaona washamaliza kila kitu kumbe ndo kwanza safari ndo inaanza...vilaza sana hawa jamaa

Ulitaka wakufuate uwa pangia matumizi kwa jasho lao?
Mwanaume mzima kama binti
 
na Wewe si ununue lakwako.

ha ha haaaa...safi sana, yaani mtu ahangaikie pesa yako we uanze kumpangia masharti ni kitu gani cha kununua!!?? ili akuridhishe nafsi yako kwamba anaendesha gari ya kawaida au!!! hizo zinaitwa TUHESHIMIANEEE!!!!!!
 
Sio wivu huo ndio ukweli jamaa ni watoto katika movie industry ya duniani lakini kama hapo walipo fikia ndio malengo yao basi ni sawa na wacheza soka wa kibongo ukichezea yanga au simba basi ushafikia kilele hao jamaa ni walewale wabongo hawana jipya.

acha wivu....
 
Jamani hao watu wana production companys,wanapata pesa za kibongo bongo ambazo zinawatosha,wanataka kujenga status zao zizidi kukuwa,wanafanya movie na ma star wa kinaigeria kama Ramsey noah,they are in their way up na sio down,achani wivu wa kijinga
Kwanza msiseme sijui wivu wa kike,semeni wivu wa kiume looo
Sijaangakia movie za kibongo for almost 3 years lakini i guess zinatakuwa na mvuto kwa sasa hadi kuwafanya wa make money
 
Uliyesema ni vilaza una wivu wa kike,, Mi binafsi sio mpenzi kabisa wa movie zao lakini nawakubali hawa vijana kwa ubunifu wao wa kutafuta maisha kwa kazi za mikono yao na mungu awazidishie maana wengi wetu tumekalia kuilaumu serikali haitoi ajira na kushindwa kubuni chochote cha kujiajiri na hata tulioajiriwa kazi ni kuwaza kutajirika kwa wizi na rushwa tu wakati wapiganaji wa kweli wanatafuta riziki bila kusubiri kubebwa na Jk wala Dr slaa,, Wanapigana wenywe kutafuta riziki hata kwa movie za camera moja mkono uende kinywani,, Kwa maisha ya kuajiriwa ni ngumu sana kuwa na kipato cha hawa jamaa bila ya wizi,,

Matumizi ni maamuzi ya mtu kama anajua kutafuta pesa na kujiajiri ndo silaha kuu kupambana na hali mbaya ya uchumi iliyopo sasa duniani kote,
Nilioneshwa nyumba moja Tabata bado inajengwa na Ray sikuamini kama Bongo movies inaweza kuwafikisha hapa ilipo na hii kutokana na kujituma na kutosikiliza wakatishaji tamaa kama wewe muanzisha maada kwa kumuita mtu ALIYEJIAJIRI KILAZA WAKATI WEWE UMEAJIRIWA UNAISHI KWA KUTUMWA NA MABOSI WAKO OFISINI,, SHAME ON YOU,,
huko Nigeria waigizaji kina genevive nnaji na wengineo ni graduates lakini wameamua kuingia kwenye sanaa kwa sababu ya kipato kidogo kazini na shida za kuajiriwa,, hopin unaona they are lifestyle on dstv if you have it at home
kwa kumalizia kwa mshahara wa ofisini bila wizi ni ndoto kwako kuja kumiliki hayo magari na hizo nyumba wanazojenga hawa jamaa tena bila kujibana (sababu wanakula bata daily, wanaendesha magari wanayopenda na kudate na galz they wish)

umemaliza??
 
Back
Top Bottom