Simba walikubali kwakuwa walipakatwa na mademu zao.....Sijui kwanini tunakua na jazba yanga akipakatwa........... juzi hapa simba alipakatwa watu wakakubali, tatizo liko wapi leo kandambili kuweka masaburi yake kwa mnyama?
Licha ya jana kuchapwa na Simba SC, nawapa saaaana hongera maana wameingia tena kwenye rekodi; jana Mabingwa wa Kagame ambao impliedly in Mabingwa wa Afrika Mashariki, Sudan na Pembe ya Africa walivunja rekodi kwa klabu zilizopo kwenye eneo hili
Hii ndio kwa mara ya kwanza regional champion kupigwa bao nane ndani ya mechi tatu................duu hii haijawahi kutokea kabisa........Yanga
mnatisha................magazeti, radio kimya kabisa mimi nilidhani front pages za magazeti zitafunikwa na habari hii ya Yanga kuvunja rekodi

mata----k---o hulia bwata!

Simba kapakatwa pub
Simba mtaishia kushinda mechi za UBAO WA HISANI!! Yanga wameshachukua makombe yote mwaka jana halafu Simba jana wanakomaa ili walau washinde huyo UBAO WA HISANI. Simba walitakiwa wakomae mwaka jana ili walau huenda wangegawana vikombe na Yanga.

Yanga wanagombea na kushinda vikombe sio vifuniko aka Ngao ya hisani. Subirini kwenye ligi

Mie naikumbuka RECORD hii

1- TP MAZEMBE 3 SIMBA 1

2-SIMBA 2 TP MAZEMBE 3

3-WAYDAD 3 SIMBA 0

4-DC MOTEMA PEMBE 2 SIMBA 0

matokeo haya ndani ya wiki 5 tu

Na mimi nakukumbusha tu na haya pia:

Polisi dodoma 2-1 Yanga

El-hilal 3-1 Yanga

Yanga 1-3 El-hilal

Yanga 0-2 Simba.

Na kesho lazima mchezee kichapo kwa JKT Ruvu.

Enyimba 4- Simba 0

Enyimba 3- Simba 1

Na hizo ni mechi mbili tuu ...au mmesahau ,Bao sba katika mechi mbili!!!!!!!!!!