Yanga yavunja rekodi

Kintiku

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
617
319
Licha ya jana kuchapwa na Simba SC, nawapa saaaana hongera maana wameingia tena kwenye rekodi; jana Mabingwa wa Kagame ambao impliedly in Mabingwa wa Afrika Mashariki, Sudan na Pembe ya Africa walivunja rekodi kwa klabu zilizopo kwenye eneo hili

Hii ndio kwa mara ya kwanza regional champion kupigwa bao nane ndani ya mechi tatu................duu hii haijawahi kutokea kabisa........Yanga
mnatisha................magazeti, radio kimya kabisa mimi nilidhani front pages za magazeti zitafunikwa na habari hii ya Yanga kuvunja rekodi
 
Ama kweli wahenga hawakukosea waliposema kuwa 'MASKINI AKIPATA,M.A.T.A.K.O HULIA MBWATA' Yaani huo ushindi wa jana tena kwenye kombe la NDIZI ndo unasababisha uandike huu upuuzi wako?
Anyway sikushangai sana labda ndo uwezo kufikiri ulipokomea.
 
Wanitukania nini ndugu yangu, je si kweli kuwa Yanga imepigwa bao nane katika mechi tatu?
 
Simba mtaishia kushinda mechi za UBAO WA HISANI!! Yanga wameshachukua makombe yote mwaka jana halafu Simba jana wanakomaa ili walau washinde huyo UBAO WA HISANI. Simba walitakiwa wakomae mwaka jana ili walau huenda wangegawana vikombe na Yanga.
 
<br />
<br />
mfamaji...,
 
Masikini akipata.........

mata----k---o hulia bwata!

Masaburi yako ndo yamepigwa bao nane ila Yanga wamefungwa goli nane

punguzeni jazba!
 
Wanitukania nini ndugu yangu, je si kweli kuwa Yanga imepigwa bao nane katika mechi tatu?

Ndio nane kwa mashindano yapi? trial matches ni kujaribu au kufanya maandalizi ya msimu mpya. Hakuna record yoyote hapa, hata kumi unapigwa na hakuna lalama. hivi hya maneno umeyatoa wapi, Hayawani ya kike wewe.
 
Nawashukuru sana Simba kwa kuleta heshima mjini, maana tusingekuwa tunaongea kabisa. Tulilala kimya, mngeshinda ingekuwa balaa.

Engineeer Kenge, wewe ni hayawani wa kiume.....................................
 
Masikini akipata.........
<br />
<br /
kweli lakini wamesahau yanga ndo wamenufaika .kombe ya tusker zaidi ya 30m kombe la ligi 40m na kagame 40m mpaka wamekopesha TFF .sasa kombe la bonaza wamepata sh ngapi ? Kama mgao kila club imepata 84m
 
Kwanini Sishabikii Yanga:

  1. Timu inaitwa Dar - mimi sio wa Dar- natoka Singida
  2. Young- Mimi sio young ni mzee
  3. African (ubaguzi) mimi sio mwafrika nina asili ya nje ya Afrika
Ili uwe shabiki wa yanga lazima uwe unatoka Dar, ni kijana na mwafrika....................ukikosa sifa mojawapo hapo wewe njoo kwa mnyama
 
Sababu zake sio za maana nakupa wiki mbili uje na sababu zilizojitosheleza.
 
Sijui kwanini tunakua na jazba yanga akipakatwa........... juzi hapa simba alipakatwa watu wakakubali, tatizo liko wapi leo kandambili kuweka masaburi yake kwa mnyama?
 
Back
Top Bottom