Yanga wakabidhiwa jezi za doa jeusi walizotaka, na kuwa shushia kipigo ruvu shooting 3 kwa 2

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797



Meneja Mahusiano ya Nje wa kampuni ya Sima za mkononi VODACOM, Salum Mwalimu akionesha jezi walizokabidhi kwa klabu ya Yanga zikiwa na doa jeusi. (Picha na Habri Mseto Blog)

Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Laurence Mwalusako (kati) akipokea jezi walizokabidhiwa na Vodacom zikiwa na doa jeusi kutoka kwa Meneja Mahusiano ya Nje wa kampuni ya Sima za mkononi VODACOM, Salum Mwalimu (kushoto). Kulia ni Ofisa Udhamini wa kampuni hiyo, Ibrahim Kaude
 
Tumepata JEZI MPYA na hapohapo tumeitundika RUVU; Who's next???
 
Klabu ya YANGA pasafi kweli... Kazi nzuri mnapatuliza vizuri
 
Hatuwezi vaa doa jekundu hyo ni najisi,. Safi sana akilimali kwa msimamo wako
 
ha ha hawa jamaa wameshaona kuwa msim huu lazima ile kwao so wanatafuta visa kila kukiacha ili wafukuzwe kwenye ligi
 
Vipi African Lyion nao walikuwa wanagomea kitu kama cha Yanga ila sijajuaa hasa ni nini,vipi hatma yao?isije kuwa TFF/Vodacom wanaogopa timu kubwa pekee?
 
Back
Top Bottom