Yanga wageuzwa kitoweo

safariwafungo

Senior Member
Apr 26, 2008
116
51
Ni vute ni kuvute mara wachezaji wamenywanganywa simu mara kambi ulinzi mkali yanga kunako Kirumba majira ya saa kumi tarehe ya 2010-10-16, je yanga watachomokoa mbele ya mnyama aliyetuka kwenye swaumu au ndo atageuzwa kitoweo?
 

Attachments

  • P6220100.JPG
    P6220100.JPG
    42.2 KB · Views: 46
Mpaka sasa Tayari Simba kesha lia 3-0 hakuna ubishi kesho Simba lazima alowe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom