Yanga vs Simba April 18 2010

Nani kafunga bao dakika ya ngapi na rangi ya jezi tafadhali........

Goli limefungwa na Xabi Alonso dk ya 10..Rangi ya jezi ni za siku zote,Chelsea blue(full) na Liverpool red(full)..Chelsea wanashambuliwa sana saa hizi
 
Wacheza wa simba wameenda kwenye goli la yanga na kumpa kitu kama hirizi mwandishi wa habari..wachezaji wa yanga wakaanza kumtimua..mpira ulisimama kwa muda...polisi walipo ingilia...

Mpaka sasa bado bao ni moja simba kashaingiliwa....na yanga.
 
Kazi ipo kwa Hassan Dalali na wenzake,moto lazima uwake kuanzia klabuni mpaka nyumbani kwao..YANGA bwana rahaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mpira umekwisha na ni Yanga 1 Simba 0, mwenzetu Masatu hakuwa na mawasiliano uwanjani tumuwie radhi wakati huu mgumu kwa Mnyama, sasa hivi kuna kikao kinataarishwa kwa Kapuya kujadili mfululizo wa vipigo kwa Mnyama.
 
Lazima wasomeana albadiri......kuna vizee pale msimabzi havina kazi najua sasa hivi vitakuwa mapovu yamewatoka midomoni kwa hasira.......
 
List ya Mabingwa
1.Circovik
2.Nsajigwa
3.Nurdin
4.Canavaro
5.Owino
6.Bon
7.Ngasa
8.Idd
9.Ambani
10.Mwalala
11.Shamte
Hicho ndicho kikosi cha nguvu
 
Yanga bwana!!! Ama kweli pashoka hapaingii kisu!!
Kazi huko Msimboazi wallah kama mi Dalali leo naenda kulala Yautooo Guest maana wanaweza mchomea ndani wallah!!
 
Back
Top Bottom