YANGA vs NATIONAL Al AHLY

Sasa unaongopa, rekodi zipo mbona?
1982
cairo al ahly -5 young africa-0
dsm yaoung africa -1 al ahly-1
1988
dsm young africa-0 al ahly-0
cairo al ahly-4 young africa-0
sasa hapo 8-0 zimetoka wapi?

Sawa. Ila cha msingi ni kwamba kuna improvement from 1-6 (aggregate) to 0-4 (aggregate). Ndiyo maana ya hiyo hongera - ni ya dhati kabisa.
 
Watoto wa kiarabu wanagonga pasi kama mtu unacheza draft vile hapa nakubaliana na kocha wa Yanga Kondic alipotoka misri alisema Wale watu mpira wao upo yuluuuu(juu) sana hana matumain sana ya kuwatoa but in futbal anything can happen ila sio kwa Al Ahly! wanatisha ..barakat...abou trika etc ..nomaa..
Kocha wa yanga anaweza kujifunza mengi katika mechi ya leo...

...nakubaliana nawe, Kocha wa Yanga atajifunza mengi, ila hiyo michezaji mnh! haifundishiki!!!

Poleni kandambili!
 
Ndio mtajua marcio maximo kocha bora.....timu hii hii akifundisha mmeona inavyocheza soka zuri lakini leo mmeona kondic alivyoleta matokeo......
 
Al ahly uwezo wao mkubwa mara 10 zaidi ya timu zetu za ndondo hapa tanzania na kusini jangwa sahara ukitoa SA kidogo....uweZo wao sio size yetu ila sisi ni ubishi tu...mmeona gonga na akili wanavyotumia?waikuwa hawashambulii maana wanaogopa kuumizwa sababu walishajua wamepita...sisi bado sana....tena sana mwisho wetu raundi y 2 au robo fainali.....kwisha
 
Al ahly uwezo wao mkubwa mara 10 zaidi ya timu zetu za ndondo hapa tanzania na kusini jangwa sahara ukitoa SA kidogo....uweZo wao sio size yetu ila sisi ni ubishi tu...mmeona gonga na akili wanavyotumia?waikuwa hawashambulii maana wanaogopa kuumizwa sababu walishajua wamepita...sisi bado sana....tena sana mwisho wetu raundi y 2 au robo fainali.....kwisha
 
Sasa unaongopa, rekodi zipo mbona?
1982
cairo al ahly -5 young africa-0
dsm yaoung africa -1 al ahly-1
1988
dsm young africa-0 al ahly-0
cairo al ahly-4 young africa-0
sasa hapo 8-0 zimetoka wapi?

Ha ha haaaaaaaaaa! Leo nimeona Bendera imeandikwa Manjis Army!

Hivi kuna Mmisri gani aliyewahi kuchomoa Tanzania kwa Simba aka Sunderland seuse Draw au Suluhu!

Kesho watakuja na Kisingizio kwamba hawajazoea kucheza saa tisa mchana
 
Nahisi Utakuwa ni mtoto wa jana wewe,nakupa Ukweli Kuwa Kuanzia hiyo sunderland mpaka leo Simba imezitoa timu mmoja tu ya Misri,
Kumbuka Kwamba Hakuna klabu yoyote ya Tanzania iliwahi kuing'oa Ahly Katika Mashindano yoyote ya Vikombe vya Afrika
Nusu Fainal Klabu Bingwa Afrika
1974
Simba-1 Mehella El Kubra-0
Mehella El Kubra-1 Simba-0(1-1)3-0 Ukatolewa kwa penati
Raundi ya Pili Klabu Bingwa Afrika
1981
Ahly-5 Yanga-0
Yanga-1Ahly-1(1-6)
1984
Raundi ya Pili Kombe la Washindi
Simba-2 Ahly-1
Ahly-2 Simba-0(3-2)
1988
Raundi ya Kwanza Klabu bingwa afrika
Yanga-0Ahly-0
Ahly-4Yanga-0(4-0)
1992
Raundi ya pili klabu Bingwa Afrika
Yanga-0 Ismail(Ismailia)-2
Ismail-1Yanga-1(3-1)************
1993
Raundi Ya kwanza Klabu Bingwa Afrika
Malindi-0 Zamalek-1
Zamalek-4 Malindi-0(5-0)
Raundi Ya Kwanza Kombe La Washindi
Ahly-5 Pamba-0
Pamba-0 Ahly-0(0-5)
1996
Raundi ya pili Kombe la Washindi
Simba-3 Al Mokaoulun(Arab Contract)-1
Al Mokaoulun-2 Simba-0(3-3)4-1 Simba Nje kwa Penati
1999
Raundi ya pili klabu Bingwa Afrika
Majimaji-0Ahly-3
Ahly-2majimaji-0(5-0)
2000
Kombe la Washindi
Yanga-1Zamalek-1
Zamalek-4Yanga-0(5-1)
2001
Kombe La washindi Raundi ya pili
Ismail-2 Simba-0
Simba-1Ismail-0(1-2)Simba Nje Japo mechi ya awali iliaaghrishwa huku wakiongaza 2-0
2003
Raundi Ya Pili Klabu Bingwa Afrika
Simba-1(Emmanuel gabriel Dak.55)Zamalek-0
Zamalek-1(Abdelhalem Dak 59)Simba-0(2-3)Kwa penati
Kipi ulichokipata katika historia ya timu zetu dhidi ya wamasri
ni Yanga pekee iliowahi kupata sare katika open mins za mchezo Dhidi ya Ismaila
 
Kaka nashukuru kwa Historia lakini Swali langu ni Kwamba ni Timu gain ya Misri iliyowahi kupata japo DRAW au SULUHU katika Ardhi ya Watanzania mbele ya Simba, je waweza ku highlight katika hizo takwimu hapo juu maana sijaona may be kwa sababu macho yangu yanatoa moto. Its Only Simba katika Afrika Mashariki Iliyowahi kuing’oa timu ya Misri katika Ardhi yao
 
Watani poleni na safari, poleni kwa 'vipigo' na karibuni kwenye ligi ya nyumbani kwani hiyo mnaiweza sana.

Halafu kuna nafasi ya kukata rufaa, si mliukataa uwanja kisha 'fwati' wakakulazimisheni?
 
Watani poleni na safari, poleni kwa 'vipigo' na karibuni kwenye ligi ya nyumbani kwani hiyo mnaiweza sana.

Halafu kuna nafasi ya kukata rufaa, si mliukataa uwanja kisha 'fwati' wakakulazimisheni?

hahaha!! wakate rufaa wakati wameshukuru matokeo yaliyojiri kuliko kupigwa aggr ya ajabu!
Tunawasubiri kwenye kumalizia Ligi yetu ilitujipange mwakani tena!!
 
kweli umeona walivyoshinda 5 e wameonyesha kiwango cha chini saaana ni aibu saana

hata 1 AL AHLI wanapiga pasi zaidi ya 20 utafikiri wapo peke yao

Na refer kawabeba yanga lakini sikio la kufa ......
 
Nimekuambia hakuna klabu yoyote ya kwetu ukiacha yanga iliowahi kupata sare katika Ardhi ya Misri Ndani ya dakika 90 za Mchezo au hujaelewa Bado Nimekuonyesha alama ya ******** katika matokeo hapo juu vipi mkuu?
 
The thing is Yanga is champions of Tanzania again and will be going back into the fray later this year! Al Ahly is a very good team and they probably deserved to win.

Being a football fan first, and Taifa Stars, Yanga, Arsenal, Iwisa Kaizer Chiefs, Barcelona, Lazio, Borusia Dortmund, Dallas Burn, UNAM Pumas, etc in that order I was privileged enough in this lifetime to see live and in living color some of Afrika's greatest club players, including the Afrikan player of the year (professional sports writers, BBC)

Hata hao Simba wenyewe lazima wakubali kwamba Yanga imewawezesha kuwaona wachezaji hao kama Mohammed Aboutrika, Flavio Amado, Gomaa, Mohammed Barakat etc.

The sad shit is that only in Tanzania does an opposing local team cheer for the visitors! Yanga walivyoenda Cairo maswahiba wakubwa wa Al Ahly, timu maarufu ya Ismailia, hawakuishangilia Yanga na huwa haishangilii hata mara moja. Lakini sisi hapa bongo tuna umbumbumbu wetu wa hovyo sana!

I LOVE YANGA! YANGA AFRIKA FOR LIFE! DAIMA MBELE, NYUMA MWIKO!!
 
The sad shit is that only in Tanzania does an opposing local team cheer for the visitors! Yanga walivyoenda Cairo maswahiba wakubwa wa Al Ahly, timu maarufu ya Ismailia, hawakuishangilia Yanga na huwa haishangilii hata mara moja. Lakini sisi hapa bongo tuna umbumbumbu wetu wa hovyo sana!

Mkuu si bado unakumbuka Yanga walivyoishangilia Stella Atoir (ya Ivory Coast) wakati ule ktk finali ya CAF Dar (licha ya appeal ya Mzee Mwinyi)? Au mkuki kwa nguruwe?
 
Ule mtanange tuliokuwa tunausubiri kwa hamu utapigwa kesho saa 9 alasiri pale uwanja wa Taifa huku vijana wa jangwani wakituhakikishia Watanzania kuwa ushindi ni lazima tena wa kutakata. Haya wadau wenye information kuhusu mchezo huu mwageni kwenye thread hii.
Mungu Ibariki Yanga, Mungu Ibariki Tanzania.

Yeah, I can see:(;)!
 
Back
Top Bottom