Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
Yebo Yebo kapata goli...Leo mtoto hatumwi dukani....hakika picha nzima ya nani atakuwa bingwa 2011/2012 tutaipata leo
Yebo Yebo kapata goli...Leo mtoto hatumwi dukani....hakika picha nzima ya nani atakuwa bingwa 2011/2012 tutaipata leo
Wadau tupenae uhondo live wa mechi kati ya Yanga na Azam.......
Tegete kafanya mambo tayari
vipi matokeo bado 1-1
duu yanga wamepata goli la 2...
duu yanga wamepata goli la 2...
>>>dakika ya gani??Tegete tena! Bado moja iwe hat trick!
>>>dakika ya gani??
Hongera yebo yebo....................