Yanga Vs Africanlyon

Kasi waliyonayo Yanga a.k.a Yebo Yebo wanaweza kupata hata zaidi ya goli 5 labda hawa Africa Lyon wabadilike...
 
Yanga 3 African Lyon 0(Iddi Mbaga kapiga 2 na Davies Mwape kapiga 1).....Game yaendelea
 
Kama matokeo yatabakia hivyo hivyo 3-1...yanga ataongoza kwa kigezo cha goal difference eeh?? Masikini mnyama...mwaka wa hasara!!
 
Kama matokeo yatabakia hivyo hivyo 3-1...yanga ataongoza kwa kigezo cha goal difference eeh?? Masikini mnyama...mwaka wa hasara!!

Tatizo bado wanaiwazia TP Mazembe
Waliingia uwanjani jana wakiwa bado wanawaza "KUITOA TP MAZEMBE" ktk mechi ya tatu itakayochezwa kule CAF
 
Mpira umeisha Yanga 3 African Lyon 1

Kwa matokeo haya ni kwamba Simba wana ponti sawa na Yanga ila yanga anaongoza kwa goal difference ya 1(Simba kafunga magoli 36 na kafungwa magoli 15,goal difference ni 36-15=21,Yanga wamefunga magoli 29 na wamefungwa magoli 07,goal difference ni 29-07=22).Hivyo tofauti ya magoli ni 22-21=01

Bingwa ataamuliwa katika mechi za mwisho ambapo Simba itacheza na Majimaji na Yanga itacheza na Toto Africans
 
Mpira umeisha Yanga 3 African Lyon 1

Kwa matokeo haya ni kwamba Simba wana ponti sawa na Yanga ila yanga anaongoza kwa goal difference ya 1(Simba kafunga magoli 36 na kafungwa magoli 15,goal difference ni 36-15=21,Yanga wamefunga magoli 29 na wamefungwa magoli 07,goal difference ni 29-07=22).Hivyo tofauti ya magoli ni 22-21=01

Bingwa ataamuliwa katika mechi za mwisho mbapo Simba itacheza na Majimaji na Yanga itacheza na Toto Africans

Duh. hapo Yanga ubingwa wenu. Hiyo mechi ya mwisho ni kama Yanga vs. Yanga B.. halafu changanya na mkono wa Manji.. Hongereni
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom