Yanga na afrikan Lyon waigomea TFF na Vodacom

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Kama kichwa kinavyoeleza hapo,timu hizi leo zimeingia uwanjan pasipo kuvaa jezi zenye nembo ya mdhamin wa Ligi kuu TANGANYIKA,,,,,
Ikumbukwe kuwa afrikan Lyon walikatazwa kuvaa jez za mdhamin wao(zantel).
Hizi ni dalili mbaya kuwa ligi hii huenda ikawa na mgogoro sana kwenye kipengele cha exclussive ya mdhamin
 
vodacom walipamba kombe la ubingwa wa ligi kuu kwa rangi za simba huku mshindi alikuwa yanga!
 
vodacom bongo wasidekezwe mbona vodacom soth africa wanadhamini ligi lakini vilabu vinaruhusiwa kuwa kuwa na wadhamini wanaofanya biashara sawasawa na vodacom kama mtn n.k. why wanavibana vilabu bongo?wizi mtupu
 
hili ndilo linaleta maswali mengi sana,ila juzi nimemsikia mtangazaj wa kituo kimoja akisema isije ikawa kuna watu wamehongwa pale TFF ili kutetea maslah ya VODA
 
vodacom walipamba kombe la ubingwa wa ligi kuu kwa rangi za simba huku mshindi alikuwa yanga!

7bu ya leo si hiyo Jack,leo wamegomea kuvaa jez za voda kwa sababu wanataka wavae jezi zenye wadhamin wengine pia(kama zantel)
 
7bu ya leo si hiyo Jack,leo wamegomea kuvaa jez za voda kwa sababu wanataka wavae jezi zenye wadhamin wengine pia(kama zantel)
yanga haiwezi kuitangaza voda kirahisi namna hiyo hasa ukiangalia hiyo mirangi ya voda ni simba tupu!
 
Wasije wakafanya mambo ya DOWANS. Mkataba ulisainiwa na TFF pekee au pamoja na clubs? ... Nazo clubs kama zilisaini mkataba basi imekula kwao. Tatizo letu ni kuvunja mikataba na kutarajia kuwa haitatugharimu.
 
hili ndilo linaleta maswali mengi sana,ila juzi nimemsikia mtangazaj wa kituo kimoja akisema isije ikawa kuna watu wamehongwa pale TFF ili kutetea maslah ya VODA
Inawezekana wamehongwa mbona TFF waliachana na serengeti wakaamia kwa TBL kwanini leo vilabu vinalazimishwa kuingia mkataba na vodacom tena kwa vitisho wakati umefika kwa vilabu kuelewa mpira sasa hivi ni biashara kubwa wasikubali kutumiwa kirahisi kama vodacom wanataka wawe wadhamini pekee watoe fungu la kutosha sio hivyo visenti vyao
vilabu vibadilike viendeshwe kisasa na waajili wataalamu wa masoko au waingie mikataba na makampuni ili watafutiwe wadhamini ambao wako wengi na sio TFF inaacha kazi yake ya kuendeleza mpira na kuviendesha vilabu kupitia mlango wa nyuma
 
Back
Top Bottom